Mie mhenga shemeji.hahaha
shemeji na wewe ulikuwepo kipindi cha wahenga?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na suruali za mchele mchele
hahahaaMie mhenga shemeji.
Yeeeh pehaaa!Series za kikorea zmekuharibu mkuu! [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] mpaka username..! Dadadadakiiii
Sunguwamitaaa pehaaHaha wale watoto wa kikorea wanamadeko ya aina yake.
Username sio kikorea ni maasai.
Arashii?Sunguwamitaaa pehaa
Shikamaoo bibiMwaka 1985 wakati wa transition of power kutoka kwa Rais Nyerere kwenda kwa Rais Mwinyi, wengi hasa wazee wakiwaza Tanzania bila Nyerere inawezekana?
Tulianza kuona plastic shoes madukani, enzi zile ziliitwa Yondo Sister, saa za battery ziliingia, khanga za Mombasa zikauzwa madukani si tena kwa mchoro mchoro.
Ninakumbuka yellow fashion, ualikwe kwenye party umepiga yellow shoes kichwani una yellow hair band kama Madonna kila mvulana anataka kucheza na wewe.
Unakumbuka nini?
Sijui na watoto wa miaka hii watakuaga wanakumbushia nini sasa miaka kadhaa ijayo,,,,hasa kwenye mavazi...Sijui watakuaga wanakumbuka modo,skin tyt,bikini,boxers/pents zao izi za kisasa..!!
Sijui pia nao watakuaga WAHENGA hapo baadae afu na watoto wao wawe wanasema "Wahenga walisema"....!!!
Najaribu tu kujiulza haya maswali na kuimagine lakini sipati majibu na picha nzima itakavokuaga miaka iyo ijayo.....
Asiwatishe mengine amesimuliwa huyo [emoji38] [emoji38]
Watu waliacha kuita chumvi dawa ya mboga hasa mida ya jioni.
[emoji23] [emoji23] mkuu usinilishe maneno sijasema hivyo mimiAhahaahaha kumbe anatafuta vyiki [emoji23][emoji23]
Njum hata watoto wa wakulima walikuwa wanavaa bwana weeEnzi hizo... Viatu vya shule ni Njumu tunavaa watoto wa kisure tuu!!
[emoji23] [emoji23] maana yake nini hiiSunguwamitaaa pehaa
Eeh dawa ya jikoDawa ya jiko.
[emoji23] [emoji23] mkuu usinilishe maneno sijasema hivyo mimi
Njum hata watoto wa wakulima walikuwa wanavaa bwana wee