[emoji23][emoji23][emoji23] tukiwa shule ya msingi, alikuwa akitoka kuangalia mechi ya simba na Yanga, halafu Yanga ikitoka imefungwa hasira zote zinaishia kwetu asee. Bi mkubwa alikuwa akijua tu simba na Yanga zinacheza alikuwa anatuwahisha kulalaMimi kwakweli sitasahau ukoloni wa Mzee wa kununua stendi ya Tv na kuwa anaisukuma kuipeleka chumbani mara baada ya kumaliza kuangalia taarfa....ki ukweli ule kwangu nilikuona naona ni ukoloni ile mbaya
Ebu tukumbushane ukoloni wa hawa wazee wetu wa zaman
ahahahahaha noma sanaDaah nakumbuka kipindi tukiwa wadogo mzee wetu alikua na tabia ya kutuchapa kila anunuapo bidhaa mpya na kuileta nyumbani.Mfano Nakumbuka siku moja alinunua chupa ya chai kabla hata haijaanza matumizi akatutia bakora huku akitusihi na kutukanya kuwa tukiichezea inaweza kupasuka,Basi ikawa kila akinunua kitu chochote akikileta nyumbani lazima tuchapwe!![emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Hamna kunywa chai bila kuoga
Sa kumi na mbili geti limefungwa...
Alileta ukoloni zaidi pale alipoanza kukusanya simu zetu sa mbili usiku na kuzizima mpaka asubuhi anapoenda kazini.
duh nimecheka saaanaaaa!!!!!Mzee wangu alikuwa na tabia ya kuzima TV kwa remote, halafu anamalizia na ile button ya kwenye TV na kuingia na remote chumbani hivyo TV haiwaki mpaka utumie remote kuiwasha.
Kwa utundu wangu nikabuni mbinu. Nilikuwa naminya ile "button" ya kwenye TV, then na-"press" na ku-"hold" button za kuongeza sauti na kubadilishia channel kwa pamoja na TV inawaka bila kutumia remote.
Nikimaliza kuangalia naweka auto switch off, namalizia na button ya TV halafu huyooo nakwenda zangu.
Ila Kuna siku alirudi kazini, akaigusa TV akakuta ya moto dah kipigo alichonipa sitaki kukikumbuka.
umenikumbusha mzee alikua anatwambia kama cc tunavyokula mara tatu ma mifugo ilishw hivyo.kwa hyo akija akakuta haina chakula lazima kiwlewek tuUmenikumbusha mbali.... Mzee alikuwa anaulizia Kama mifugo imekula hata Kama nyie mtalala njaa shauri yenu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole sana mkuuMzee wangu alikuwa na tabia ya kuzima TV kwa remote, halafu anamalizia na ile button ya kwenye TV na kuingia na remote chumbani hivyo TV haiwaki mpaka utumie remote kuiwasha.
Kwa utundu wangu nikabuni mbinu. Nilikuwa naminya ile "button" ya kwenye TV, then na-"press" na ku-"hold" button za kuongeza sauti na kubadilishia channel kwa pamoja na TV inawaka bila kutumia remote.
Nikimaliza kuangalia naweka auto switch off, namalizia na button ya TV halafu huyooo nakwenda zangu.
Ila Kuna siku alirudi kazini, akaigusa TV akakuta ya moto dah kipigo alichonipa sitaki kukikumbuka.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Daah nakumbuka kipindi tukiwa wadogo mzee wetu alikua na tabia ya kutuchapa kila anunuapo bidhaa mpya na kuileta nyumbani.Mfano Nakumbuka siku moja alinunua chupa ya chai kabla hata haijaanza matumizi akatutia bakora huku akitusihi na kutukanya kuwa tukiichezea inaweza kupasuka,Basi ikawa kila akinunua kitu chochote akikileta nyumbani lazima tuchapwe!![emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22]
Huyo alikuwa zaidi ya mkoloniDaah nakumbuka kipindi tukiwa wadogo mzee wetu alikua na tabia ya kutuchapa kila anunuapo bidhaa mpya na kuileta nyumbani.Mfano Nakumbuka siku moja alinunua chupa ya chai kabla hata haijaanza matumizi akatutia bakora huku akitusihi na kutukanya kuwa tukiichezea inaweza kupasuka,Basi ikawa kila akinunua kitu chochote akikileta nyumbani lazima tuchapwe!![emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Nakumbuka siku ya ckukuu nipo na madogo tushapanga kwenda zetu swimming na wana mtaani tushavaa tunaaga tu ili tupewe pocket money Mzee akasema haya chukua madaftari mezani kusoma hamna kutoka..dah full Kuchek tukamvizia kalala tukatoroka,kwenda swimming tukakutana na janga mtu kazama kafia ndani ya kina na aliyegundua ni mdgo wangu bas ikabidi aende peleka maelezo kituoni.daah na tulitoroka..kurudi tumekuja chukuliwa kituoni nyumbani tulichapwa na mbao sio fimbo [emoji23][emoji23][emoji23]..ukoloni kweli yan ckukuu mchana usome kitaingia kweli.
Hyo ya kuchora unga duuu nimenyoosha mikono juuDaaa vimbwanga vya wazee wangu vingi xn ,,mojawapo anakununulia nguo over size lengo usimsumbue eti unakuwa nazo ,unajkuta upo class 3 lakini shati adi magotini ka kanzu ,kaputula adi kwenye visigino ,,pia bibi yangu anakzingua hapiki ka hujafanya anavotaka na akienda ulabuni kwenye kindoo chenye unga anachora lipicha lolote ju ya unga complex ili ukchota unga upke lazima aje atambue so nilkuwa nachora pembeni lipicha lake nachota unga then naichora tena picha ju ya unga