Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Kuna wanawake wengine wakavu kweli.hahahahahahah nimecheka kwa nguvu hadi wasungu wananishangaaa
ila nikajiambia nishamaki sura yako, utaingia kwenyw 18 zangu.
Hamadiii siku hiyo akajaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna wanawake wengine wakavu kweli.hahahahahahah nimecheka kwa nguvu hadi wasungu wananishangaaa
nisamehe aisee sababu mtaniuaHalafu maswali yameisha hadi uniulize hilo? Nitamwita Madame B tukinukishee
Yaan ndio mim ,kikitokea kitu naitwa mim mwenyekiti,mi sipigan ni nnaongea basiHa ha ha ha ndio mbinu yako mpya ya kujificha from kichapo maana kuna watu wanaongea mpka unajishtukia kumuanzsihia vagi
Usichenge rudi umnunulie bia madame bSema nimetoka kwa muda nipo mbali aseeh
PoleSema nimetoka kwa muda nipo mbali aseeh
Ha ha ha ha wewe ndio wa kuamulia kesi dadekiiiYaan ndio mim ,kikitokea kitu naitwa mim mwenyekiti,mi sipigan ni nnaongea basi
😎 hiii kitu hatar sana madameee kutolewa mchezoniHahahaha
Umenikumbusha nilipoanzishiwa vagi pale Blue bird hotel Sinza, kisa walihisi niko na mume wake ndani (mwanamke alikuja na shoga zake)
Huku na huku meneja akaja, mlango ukafunguliwa, tupsi likaingia, kuangalia sio mume wao.
Wakaomba radhi, wakasepa.....
Baada ya wiki 2 nikakutana na yule dada MK bar Kinondoni (aliyekuja Sinza kumtafuta mumewe chumbani kwetu) nilimuanzishia vagi, mpaka nikalala Oysterbay maana yule bwana alinimwaga kwa kujua eti ile varangati nilipanga mimi na yule mwanamke ili kumchomoa pesa.
HahahahahUsichenge rudi umnunulie bia madame b
Ndomana sipendi ugomviWatu wa aina yenu raha kuwaonea balaa
Kukatwa stimu hadharani aisee.😎 hiii kitu hatar sana madameee kutolewa mchezoni
We nooma sanaHahahahah
Kasema yuko mbali eti.
Ila pale nina wadau wangu....najua nitawakuta
😀Haha utakuja kupewa kesi za kuua.
Haya mambo ya kuzima wanayo wanawake ndiyo maana nikiona nakasirika kama nagombana na mwanamke naondoka taratibu.
Watu wengine washajifia wanasubiri upepo wa kupita nao tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nakumbuka miaka imwepita kidogo tulienda na teams yetu kupiga mechi ya kirafiki jeshini ila tulipofika wakasema hawajapata barua yeyote kuwa tunaenda kucheza na wao mechi bali walisemwa wamevamiwa ila kilichotokea ni kurukishwa vichura tu"""hafu ikarushwa shilingi juu kama tukipatia tunacheza mechi ila tukikosa tunakula kipigo hafu hamna mechi kuchezwa.....
Dàaaah nshakua mhenga
Inatia sana hasira ujue.Madame B hakuna siku umenichekesha kama leo, yaan inabidi umsaidie tu shigongo maana historia yako iko makini.