Tukumbushane: Ulishawahi kuanzisha vagi au kuanzishiwa vagi Mtaani?

Tukumbushane: Ulishawahi kuanzisha vagi au kuanzishiwa vagi Mtaani?

Umenikumbusha kulikua na binti ni mwembamba huyo ,yaan kati ya wote darasani ndio niliona mnyonge wangu nikijisikia tu namchokoza aisee
Ha ha ha ha ha kisa na wewe una wababe wako basi unatafuta wa kumuonea ila wenye maumbo madogo tunanyayasika sana
 
Ha ha ha ha ha kisa na wewe una wababe wako basi unatafuta wa kumuonea ila wenye maumbo madogo tunanyayasika sana
Yaan unajua hata ugomvi haunogi maanla ugomvi hata haunogii
Yaan ilikua ikitokea tunapigana,mi namfata huyo huyo ahhaahha
 
Yaan unajua hata ugomvi haunogi maanla ugomvi hata haunogii
Yaan ilikua ikitokea tunapigana,mi namfata huyo huyo ahhaahha
Ha ha ha ha una tabia mbaya sana kumnyanyasa mwenzio dah
 
Yaan nikikumbuka mpaka roho inauma jomoniii
sababu nikimfata mwingine ntadundwa
Ha ha ha ha kwahyo na wewe kumbe una story yako ya kudundwa enhee? Kamfate tena sa hv uone utakavyochezea
 
Shule kuna jamaa alikuwa inasadikika anawatigo watu usiku wakilala. Sasa fununu zilizagaa kwa kila mtu ila wa kuthibitisha hakwepo.

Siku moja jamaa akajichanganya akamtigo dogo wa form one dogo akasikia wakati jamaa anamalizia. Dogo alipiga kelele raia wakajaa wakaanza kumpiga jamaa. Daah jamaa alichezea balaa nusu afe. Toka siku hiyo kumgusa mtu kwenye umati siwezi
je na wewe alikutigo?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we ni kiboko ya uchafu; mi cjawahi kugombana jmn afu nikikasirika cwez kuongea nalia tyu mpka Leo!!ila nilikuwa na best yngu hyo ngumi mkononi c anajua mi muoga MTU akinichokoza tu ananunua ugomvi wee hakubali kushindwa wakawa wanamuita ngumi jiwe [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Pole....ulikuwa ni muoga sana jamani.
Kwahiyo kama huyo rafiki yako hayupo, unabondwa au!!
Pole sana.
Mie yaani sikubali kabisa.

Nakumbuka wakati nasoma Mtwara girls, kipindi tuko form 2, tulienda Mtwara tech kucheza mechi, mwisho wa siku tukafungwa.....weeee, lilianzishwa vagi, mie na kundi letu ndo vinara, piga sana form one, yaani ilikuwa mtiti.

Kufika shule, ikapigwa rollcall, mie na kundi langu la kaole tukatolewa mbele kula bakora.
Nahisi kuanzia pale ndio nikawa nunda.
Ilikuwa niko radhi nisafiri mpaka Litingi kushuhudia vagi.
Dah!!!
 
Halafu virampasi vyako vya sehemu za vilaji... wewe muumini mwenzetu tena dhehebu moja
Hahahha
Kumbe ndo machimbo yako pia, bila kusahau La Chaaz
Hapa nilipo najiandaa niende raha ya bia uianzie ukiiona.
 
Sasa hivi nna mdomo huo nnaongea wewee,nna mkwara balaa
Ha ha ha ha ndio mbinu yako mpya ya kujificha from kichapo maana kuna watu wanaongea mpka unajishtukia kumuanzsihia vagi
 
Back
Top Bottom