Tukumbushane: Ulishawahi kuanzisha vagi au kuanzishiwa vagi Mtaani?

😎 hiii kitu hatar sana madameee kutolewa mchezoni
 
Haha utakuja kupewa kesi za kuua.

Haya mambo ya kuzima wanayo wanawake ndiyo maana nikiona nakasirika kama nagombana na mwanamke naondoka taratibu.

Watu wengine washajifia wanasubiri upepo wa kupita nao tu
😀
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Chura bin Zigo kwanza mengine baadaye
 
Madame B hakuna siku umenichekesha kama leo, yaan inabidi umsaidie tu shigongo maana historia yako iko makini.
Inatia sana hasira ujue.
Umeliandaa danga kulipurura pesa, naye kajiandaa kupokea manjonjo.
Ghafla inatokea ishu kama hiyo.
Anakupeleka home, anakuachia pesa ya supu tu, baadae anakwambia naomba tuachane maana naona ule mchezo mlipanga ili mnichomoe pesa, ila mmekuja kwa step mbaya.
Bye...
Nili-mute kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…