Tukumbushane: Ulishawahi kuanzisha vagi au kuanzishiwa vagi Mtaani?

Ilikua 2010 nimeingia Iringa hata mwezi sijatimiza kuna bar inatwa +255 unaambiwa naona wana wameniibukia kaunta wanalalama nimewaibia kishuzi chao cha chuo uyo mwenye mali kasimama pembeni pumzi za hasira zimembana lilitokea bonge la varangati nashukuru mabaunsa walikua upande wangu baada ya muda polisi wakaja kutusomba wote maana vitu kibao viliharibiwa ile tunahojiwa pale nje akaitwa yule manzi aseme kisa na mkasa duh si ndio anasema jamaa ake kachanganya ma-file alimwambia yule mwenye white shirt alafu mwamba akanivamia mimi na white t-shirt yangu ile askari kusikia ivyo walimshushia kibano mwana na kundi lake na akanilipa mpunga ambao uliniwezesha kunywa bia wiki kadhaa ila baada ya miezi kadhaa akawa swahiba angu kinoma bado yupo Iringa anafundisha Iringa Uni kila nikidondoka Iringa lazima tukae tusahau upuuzi wa maisha magumu.
Nitarudi kueleza nilivyoanzisha varangati nikiwa sec school alafu nikapoteza pambano ambalo lilinishushia P yangu vibaya mno.
 
Haha.... mara nyingi ukilianzisha vaagi unachezea aseeh....

Nakusubiria
 
Hapa ndio napo wanyooshea wanawake mikono.. Umepiga wee ama umetukana Mwishoni unatoa kirahisi

Sio wewe kweli Mafia and Fish ulimpasua jamaa yako na chupa halafu hakufanya kitu akawa katulia tu midamu imejaa kwenye T-shirt baadae ukaanza kulia?

Madam wewe ni shujaa
 
Ulishawahi fumaniwa?
Hapana sijawahi ila niliwahi kuginganishaa ,[emoji4] [emoji4] aseee we acha tu wanaume walitwangana makonde, mie nduki[emoji125] [emoji125] [emoji125] mbya zaidi walikuwa ndugu asee kile kitu siwezi sahau, but sikuwahi kutembea nao sema wote walikuwa wananitaka
 
teh teh bhana madame mbavu zangu ujue
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapana aisee vngne vya kuzaliwa mi ckupewa ujasiri huo na bahati nzuri ckuwa mkorofi xo mpka itokee nimekwazana na MTU ni kipind kirefu kitapita!!

Sema kuna vichwa kama chako yaani wao bila ugomvi au kuchokoza wenzao hawana aman xo hawa
ndo walikuwa wanakutana na best yngu ngumi jiwe akikupiga lzma utoke damu[emoji23] [emoji23] mpka sasa tumekuwa ndugu na cjawahi kuwa na rafiki tena zaidi yke pa1 na tofauti zetu kitabia ila tunaheshimiana xna na hyo tabia yke ya ugomvi tu but vngne tunaenda sawa sana!!

Mi nikiona tu hpa kunadalili ya ugomvi napotea haraka sana hta nymban nikijua nimekosea bax kabla mama hajauliza naanza kujisemelea hku nikilia na misamaha kibao atanisamehe mwnywe dad angu hajawahi nigusa nimpole mno!!mi naogopa kupgwa jmn we nikiona dalili za kupgwa nakuwa mpole mno!!!
 
Hapo nakudai. Kwanini utwanganishe vidume badala uvipe ukaviacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…