Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

nilochopendea vipind vya ITV vinadumu kwa muda mrefu kama hawavumi lakini wamo,watoto wetu,Isidingo,
 
Umenikumbusha enzi hizo CNN wanatuletea live ya World War I kutoka katika viwanja tofauti tofauti accros Europe. Kuna mtangazaji momoja nimemsahau, mwaweza kunikumbusha.

Mniombee.
 
Kipindi hicho vipindi vilikuwa bomba..

Tamthilia kama
Mutant X
Beast Master
Mortal Combat
The Moon
Journey to the West....
Babylon V
Earth
 
Halafu nilikua napenda kipindu cha the africa journal cha Itv kila j2 yaan kilikua kzur sanaa

Hicho kipindi kilikua kinasikitisha sana. Ulikua unaona mtoto mdogo kabeba bereta la kufa MTU na hajavaa Shari, mbavu unahesabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…