Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

Kuna ule mchezo i mean tamthiliya ya kibuyu sijui kama kuna anaeikumbuka aiseee nilikua naogopa si mchezo nilikua naangalia huku nimeziba macho kwa mikono halafu nachungulia
Nilikuwa naiogopa halafu Mdogo walikuwa wananifanyia makusudi dada zangu ikianza imefika pa kutisha wananituma chumban kwenye Giza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
nakumbuka sun seat beach ilikua ikianza tunafukuzwa kulala
Ilikuwa na Adult scenes nyingi sana! Hata kimaadili haikufaa under age kuangalia mfano kuna jamaa anaitwa Cole alikuwa anamkula mama mkwe wake, denda nje nje!
 
John Black, Marlena Evans, Bo brad,Bill, Stefano Dimera,Jenifer, Victor Kiriakis,Hope,Austin,Christina Dimera,Sami Brady,Lucas nk...Haki ya nani ulikuwa hunitoi sebulani ikishaanza
Hapo nimemkumbuka john black tu aisee
 
Ilikuwa na Adult scenes nyingi sana! Hata kimaadili haikufaa under age kuangalia mfano kuna jamaa anaitwa Cole alikuwa anamkula mama mkwe wake, denda nje nje!
hata mimi nimemkumbuka ben.. nahisi zaman kulikua na uhuru flani wa vyombo vya habari mana hata ITV ilikua ikionyesha filamu za ngono usiku
 
images

robocop-1987-02.jpg

NE6XOH1fze2297_2_b.jpg

showposter.jpg

maxresdefault.jpg

walker_cast_full_top.jpg

51DHWZk2vfL._SX940_.jpg

images
Daaah
 
La mujer de mivida.na pia kulikua na kitu cha chuck noris walker Texas ranger kila ijumaa si mchezo ,mieleka ya akina nick freno,mysterious,chriss benat na chriss Jericho bila kumsahau sting aliekua anataka unga usoni kila jumapili ilikua nzuri sana
Sting alikuwa noma sana
 
hata mimi nimemkumbuka ben.. nahisi zaman kulikua na uhuru flani wa vyombo vya habari mana hata ITV ilikua ikionyesha filamu za ngono usiku
Yeah Ben alikuwa na kabinti karembo kanaitwa Meg!
Wale weusi walikuwa Michael na Vanessa! Bonge la tamthilia!
1474149603362.jpg
1474149618571.jpg
 
Hahahaaa kipindi hicho luninga nilikuwa naangalia hadi nikienda rikizo kwa babu na bibi
Nakumbuka mchezo wa Tausi ulikuwa unaendelea halafu shule ndo inafunguliwa aiseee nilijificha uvunguni ili nibaki kwa babu kuangalia mchezo
Hahahaaa akili za kitoto bhana
 
Back
Top Bottom