Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

Mister T ( r.i.p )
mr-t.jpeg

Mr.-T.jpg
 
Kuna ule mchezo i mean tamthiliya ya kibuyu sijui kama kuna anaeikumbuka aiseee nilikua naogopa si mchezo nilikua naangalia huku nimeziba macho kwa mikono halafu nachungulia
Dah mkuu kibuyu nilikua nikishaangalia kama sijaoga siogi tena mana nikuogopa kwa kwenda mbele namkamatia maza simwachiii huku nimefunga macho hadi kesho yake ilikua inatisha sana hasa kwa Umri tuliokua nao
 
Sijawahi kutazama telenovela za ukweli kama Camila na La muje de Lorenzo,tangu hapo sijaangalia tena,kwa matangazo la jambo lotion lilitisha...na wewe je? Mimi naitwa jambo doogoo
La mujer de mivida.na pia kulikua na kitu cha chuck noris walker Texas ranger kila ijumaa si mchezo ,mieleka ya akina nick freno,mysterious,chriss benat na chriss Jericho bila kumsahau sting aliekua anataka unga usoni kila jumapili ilikua nzuri sana
 
Kipindi hicho tulikua tunakariri nyimbo zotw za matangazo kama sigara Sm sigara sweetmenthol ni maarufu tanzania yoteee nimesahau maneno,taifa letu tanzania,gazeti letu tanzania mnakumbuka?revolaaa aaa revolaaaa,ule wimbo w chai jaba pia
 
Mimi nishasahau aiseee
Katika matangazo nilokuwa nayapenda moja wapo la revola.
'Tueleze siri ya mafanikio,
Sio siri, ni revola,
Revola pekeyake?
Ndio, kwani marashi yake ni tulivu na huniweka fresh mchana kutwaa.
Yalikuwa kama matatu tofauti, ila me nilikuwa nalipenda la yule mdada alokuwa anafanya mazoezi, ile lafudhi yake ilikuwa tamu na mbwembww zake.
Jengine la maji ya kilimanjaro.
'Maji safi kilimanjaroooo'
Tangazo la colgate la watoto, na tangazo la fanta la watoto pia.
Tamthilia nilokuwa naipenda ni Acapulco bay.
 
Kipindi hicho tulikua tunakariri nyimbo zotw za matangazo kama sigara Sm sigara sweetmenthol ni maarufu tanzania yoteee nimesahau maneno,taifa letu tanzania,gazeti letu tanzania mnakumbuka?revolaaa aaa revolaaaa,ule wimbo w chai jaba pia
Bila kusahau na tangazo la salama condom na nyimbo yake ile nzuri.
 
La mujer de mivida.na pia kulikua na kitu cha chuck noris walker Texas ranger kila ijumaa si mchezo ,mieleka ya akina nick freno,mysterious,chriss benat na chriss Jericho bila kumsahau sting aliekua anataka unga usoni kila jumapili ilikua nzuri sana
Bila kusahau makala za Toyota world of wildlife zilikuwa poa sana
 
Back
Top Bottom