Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

Kuna tamthiliya ilikuwa inaitwa passion,pia kulikuwa na the bold and beautfully
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]nilikua naona picha tu sielew kitu mm kigoli mbich kabsaa
Ha ha ha nshakuaharbia wewe tayar mzee mwenzetu tu bora ungesema enzi zako ni za Ben ten na spider man [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mister T ( r.i.p )
mr-t.jpeg


Mr.-T.jpg
huyu hajafa mkuu
 
The sound of music Maria bint aliyeshindwa utawa akawa house girl baadaye akaolewa na boss wake mwanajeshi mwenye watoto watano ITV
 
Back
Top Bottom