Hivi yule jamaa alikua na kigugumizi kweli au halikua anaigiza hivo tu.?Ilikuwa ni igizo flani la vichekesho la kina mzee small na jamaa mmoja alikuwa na kigugumizi hivi cjui ndo mwanachia aliitwa!
ITV ngono usiku..?[emoji15] [emoji15] [emoji15] sikuwai kujua hili.?hata mimi nimemkumbuka ben.. nahisi zaman kulikua na uhuru flani wa vyombo vya habari mana hata ITV ilikua ikionyesha filamu za ngono usiku
basi mkuu tulikua tukiangalia kupitia chanel ya e walikua wakijiunga sa 7 ila ukiwa mtu wa kupiga msuli usiku utaona vingi[emoji2] [emoji2]ITV ngono usiku..?[emoji15] [emoji15] [emoji15] sikuwai kujua hili.?
Acapulco BayTamthilia ya The passion, nmemkumbuka timmy, bibi mchawi tabitha, kay, miguel, simone
Pia The crow
Ha ha haa,alijiita Steve!View attachment 402149hivi mnamkumbuka jina huyu jamaa..? ...vichekesho vyake vilikua itv miaka hio sijui vilikua vinaitwaje
Ha ha haa!Mkuu unanikumbusha ngoma moja hivi.."I've got the power" ya Snap...na "never gonna give you up" ya Rick Astley.Vipindi vya muziki kama vile jam n delic na rithimix
Mimi nakumbuka mechi za UEFA kwenye tv zilikuwa na logo ya Motorola.Nadhani walikuwa wadhamini.
Nakumbuka tulivyokuwa tunakesha kusubiri mapambano ya Mike "iron" Tyson dah!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli!Tulikuwa tukishindana kuguess nani atatangaza habari ITV, Ila nilimpenda Sauda kilumanga habari za kiinglish sijui yuko wapi now
Kuna star novela star timesJaman mimi ni mpenz wa tamthilia sana je ninunue kingamuz gan ambacho naweza pata tamthilia bandika bandua kama ilivochanel za michezo? Msaada plz
Hahaha we jamaa umenikumbusha nilivyokesha siku moja hadi saa 11 asubuhi nikazidiwa na usingizi nikakosa pambano la Tyson aiseeeMimi nakumbuka mechi za UEFA kwenye tv zilikuwa na logo ya Motorola.Nadhani walikuwa wadhamini.
Nakumbuka tulivyokuwa tunakesha kusubiri mapambano ya Mike "iron" Tyson dah!
Kwa upande wa watoto kuanzia 4pm mpaka 6pm🙂
View attachment 402173 View attachment 402174 View attachment 402175 View attachment 402177 View attachment 402178 View attachment 402179 View attachment 402180
Mkuu naomba unikumbushe jina la hoyo tamthiliya iliyokuwa inarushwa itv hiyo hapo juu kama nyani hiyoKwa upande wa watoto kuanzia 4pm mpaka 6pm🙂
View attachment 402173 View attachment 402174 View attachment 402175 View attachment 402177 View attachment 402178 View attachment 402179 View attachment 402180
Daaaah huwa napenda sana mengi ayarudie matangazo yoote hasa hili la Revola kama ilivyo [emoji723] yanguchai bora kilele cha ubora chai bora ni majani ya tatepa iwe na maziwa isiwe na maziwa......, tangazo la colgete la lisa, sio siri ni revola. kitambo sana
In da house na jackpot bingoooooooo jamaa alikuwa kinadada walikuwa monalosa na nani sijui aiseee wanatengewa vitu kama 20 hivi halafu vinafunikwa na kofia wanaanza kufunua kimoja baada ya kingine Miss that moment wadaushivo (Journey to the west) @ ITV ,beast master @ ITV ,rhinolens @ITV,Jackpot bingo ya ITV,Kipindi cha Frank Mtao CHANNEL TEN,cartoon network ya Ctn,mambo hayo ITV,in da houze ya EATV,City Sound (Seki) ya EATV,Secreto de amor ya ITV