Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

shivo (Journey to the west) @ ITV ,beast master @ ITV ,rhinolens @ITV,Jackpot bingo ya ITV,Kipindi cha Frank Mtao CHANNEL TEN,cartoon network ya Ctn,mambo hayo ITV,in da houze ya EATV,City Sound (Seki) ya EATV,Secreto de amor ya ITV
 
hata mimi nimemkumbuka ben.. nahisi zaman kulikua na uhuru flani wa vyombo vya habari mana hata ITV ilikua ikionyesha filamu za ngono usiku
ITV ngono usiku..?[emoji15] [emoji15] [emoji15] sikuwai kujua hili.?
 
Mambo zamani yalikuwa matamu sanaaaa
 
Tulikuwa tukishindana kuguess nani atatangaza habari ITV, Ila nilimpenda Sauda kilumanga habari za kiinglish sijui yuko wapi now
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli!
 
Jaman mimi ni mpenz wa tamthilia sana je ninunue kingamuz gan ambacho naweza pata tamthilia bandika bandua kama ilivochanel za michezo? Msaada plz
Kuna star novela star times

Hapo masaa yote wavenezuela...

Azam sio sana!

Wana Nina na romanza na tamthilia za zamani
 
Mimi nakumbuka mechi za UEFA kwenye tv zilikuwa na logo ya Motorola.Nadhani walikuwa wadhamini.
Nakumbuka tulivyokuwa tunakesha kusubiri mapambano ya Mike "iron" Tyson dah!
Hahaha we jamaa umenikumbusha nilivyokesha siku moja hadi saa 11 asubuhi nikazidiwa na usingizi nikakosa pambano la Tyson aiseee
 
chai bora kilele cha ubora chai bora ni majani ya tatepa iwe na maziwa isiwe na maziwa......, tangazo la colgete la lisa, sio siri ni revola. kitambo sana
Daaaah huwa napenda sana mengi ayarudie matangazo yoote hasa hili la Revola kama ilivyo [emoji723] yangu
 
shivo (Journey to the west) @ ITV ,beast master @ ITV ,rhinolens @ITV,Jackpot bingo ya ITV,Kipindi cha Frank Mtao CHANNEL TEN,cartoon network ya Ctn,mambo hayo ITV,in da houze ya EATV,City Sound (Seki) ya EATV,Secreto de amor ya ITV
In da house na jackpot bingoooooooo jamaa alikuwa kinadada walikuwa monalosa na nani sijui aiseee wanatengewa vitu kama 20 hivi halafu vinafunikwa na kofia wanaanza kufunua kimoja baada ya kingine Miss that moment wadau
 
Back
Top Bottom