Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

Kulikua na dada mmoja anaitwa laura George anasoma taarifa ya habari itv 2001-2003. Alikua white hivi mzuri mno halafu na mhindi (Samira) taarifa ya English saa nne usiku nae alikua moto wa kuotea mbali. Nilikua sijui kidhungu hata kidogo ila nilikua sikosi taarifa ya kidhungu anayo soma Samira japo nimuone, nimsikie roho yangu isuuzike.
 
Aliyekuwa anasoma taarifa ya habari sio alikuwa Dada mweusi hivi iliyokuwa inaanza SAA NNE hivi
 
Mambo ya enzi zetu hayoo tukiwa vijana wadogo, kweli tunazeeka
"Hata babu alikuwa kijana na Bibi alikuwa binti"
Na tumezeeka kweli wakati umekwenda aisee
 
Channel zetu CTN, DTV, ITV2, TVT , TVZ
ITV2 kulikuwa na tangazo la John dilinga maclow alikuwa anatangaza hivi "we know u can't get enough that's why we keep u giving more so seat back relax and enjoy remember you are watching ITV2" zamani sanaaa ambayo ilikuja kubadirishwa na kuwa channel 5 eatv ya sasa
 
ID yko imenkumbusha tangazo la sabuni ya Revola ...ngozi nyororo..... Natumia revolaaa.
Mwanamke yupo bafuni anaoga
 
Aliyekuwa anasoma taarifa ya habari sio alikuwa Dada mweusi hivi iliyokuwa inaanza SAA NNE hivi
Yeah walikua wawili, sauda simba kilumanga (mweusi), na Samira ambae ni mwarabu.
 
ID yko imenkumbusha tangazo la sabuni ya Revola ...ngozi nyororo..... Natumia revolaaa.
Mwanamke yupo bafuni anaoga
Yeah na huyo mwanamke alikuwa anafanya mazoezi baadae ndio akaonekana kuelekea bafuni zuri sanaaa
 
Kuna yule mtangazaji mwingine anaitwa Blandina Mugenzi sijui aliishia wapi?
 
Tangazo la sigara ya Aspen king size mnalikumbuka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…