Kakashi uchiha
JF-Expert Member
- Sep 23, 2015
- 604
- 415
Alikuwa anaitwa sinbad sijui kitu ka hichoMi nimekisahau kipoje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa anaitwa sinbad sijui kitu ka hichoMi nimekisahau kipoje
Aliyekuwa anasoma taarifa ya habari sio alikuwa Dada mweusi hivi iliyokuwa inaanza SAA NNE hiviKulikua na dada mmoja anaitwa laura George anasoma taarifa ya habari itv 2001-2003. Alikua white hivi mzuri mno halafu na mhindi (Samira) taarifa ya English saa nne usiku nae alikua moto wa kuotea mbali. Nilikua sijui kidhungu hata kidogo ila nilikua sikosi taarifa ya kidhungu anayo soma Samira japo nimuone, nimsikie roho yangu isuuzike.
ITV2 kulikuwa na tangazo la John dilinga maclow alikuwa anatangaza hivi "we know u can't get enough that's why we keep u giving more so seat back relax and enjoy remember you are watching ITV2" zamani sanaaa ambayo ilikuja kubadirishwa na kuwa channel 5 eatv ya sasaChannel zetu CTN, DTV, ITV2, TVT , TVZ
ID yko imenkumbusha tangazo la sabuni ya Revola ...ngozi nyororo..... Natumia revolaaa.ITV2 kulikuwa na tangazo la John dilinga maclow alikuwa anatangaza hivi "we know u can't get enough that's why we keep u giving more so seat back relax and enjoy remember you are watching ITV2" zamani sanaaa ambayo ilikuja kubadirishwa na kuwa channel 5 eatv ya sasa
Yeah walikua wawili, sauda simba kilumanga (mweusi), na Samira ambae ni mwarabu.Aliyekuwa anasoma taarifa ya habari sio alikuwa Dada mweusi hivi iliyokuwa inaanza SAA NNE hivi
Kuna yule mtangazaji mwingine anaitwa Blandina Mugenzi sijui aliishia wapi?Kulikua na dada mmoja anaitwa laura George anasoma taarifa ya habari itv 2001-2003. Alikua white hivi mzuri mno halafu na mhindi (Samira) taarifa ya English saa nne usiku nae alikua moto wa kuotea mbali. Nilikua sijui kidhungu hata kidogo ila nilikua sikosi taarifa ya kidhungu anayo soma Samira japo nimuone, nimsikie roho yangu isuuzike.
Pia football mundial dtvNakumbuka ITV kulikuwa na vipindi vya mpira vya Italian football na football made in German.
Na muda haurudi aisii[emoji27] [emoji32]Na tumezeeka kweli wakati umekwenda aisee
Aunt Ndina, nilikuwa nampenda sauti yakeKuna yule mtangazaji mwingine anaitwa Blandina Mugenzi sijui aliishia wapi?
Lile tangazo lilikua kali sana. Nakumbuka walitumia wimbo wa "Simply the best" wa Tina Turner kama sikoseiTangazo la sigara ya Aspen king size mnalikumbuka?