Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SteveView attachment 402149hivi mnamkumbuka jina huyu jamaa..? ...vichekesho vyake vilikua itv miaka hio sijui vilikua vinaitwaje
Unakumbukumbu sn mkuuJumamosi itv walikuwa na hekaya za journey to the west a.k.a brother monkey sun wukong, zhu bajie nguruwe na master shifo hsuan tsan. Pia katuni za kina john quest, silver hawks na popeye the dreamer.
Nakumbuka pia tangazo la michael power na katili hekta dekta kama movie flani hivi ya kuitangaza bia ya guiness
Kule ctn na ndugu yake cen katuni network kila saa kumi jioni. Tangazo la tritel watu wamebeba bonge la simu.
Dtv tulikuwa tunaona ligi ya uingereza kila wiki mchambuzi dakta leakey stori nyingi. Pia kulikuwa na vitimbi vya mzee majuto, mwanachia, mangushi na gladys zipompapompa
ShivooKuna ile nyingine ya kina brother pig!ITV
Kama movie gani mkuuTamthilia zilioneshwa nyingi pamoja na the bold and the beatfull, nilikuwa napenda ctn wikiend action movies, ila kuna siku sitoisahau tulikaa familia na majirani tukiangalia picha ya Van Damme, ghafla wakaanza kugegedana da niliona noma. Watangazi walivuma ni wengi Akina Rukia Mtingwa, Vick Msina, John Ngayoma alikuwa anachapia sana akisoma habari, tamasha la michezo, habari na matukio aisee its a long time
I wish warudie nyakati hizoooo daaaahITV DAIMA kulikua na tamthilia kama THE BEASTS...ROBOCOP.... THE BOLD AND THE BEAUTIFUL...PASSION....TAUSI (Sugu,baraza.,mzee kasri....siti binti kasri... Nk. ) Vitimbwi vya kina Mzee Ojwang na Mama Kayayiiii.... Watoto wetu ya Eddy Sultan..... Tangazo la Revola aliloigiza Miriam Odemba.... Tangazo la Guiness Michael Power ...... African Soccer Show ijumaa usiku..... Katuni SAA kumi jioni ( Popeye and Son, wale mapacha against the shadow, nk. )
Hii neighbor huna kakionjo kake?Neighbor, everybody need good neighbor........ Halafu kulikuwa na mziki wa kibongo unasumbua enzi hizo sijui nani kapiga. Kukurukakala zako wewe zitakuponza acha we acha we, kukurukakala zako wewe zitakuponza brother sister.
Journey to the westView attachment 402172kuna hii pia...ilikua na jina lake ila nimelisahau...adi wahusika nilikua nimeweka majina ya kichwani enzi izo ila nimesahau yote [emoji2] [emoji2] [emoji2]