Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

Mister T ( r.i.p )
mr-t.jpeg

Mr.-T.jpg
Hivi mr. T kumbe alinyooka dah R.I.P
 
Aliitwa Steve. Martin alikuwa na Will smith kwenye Fresh prince of ballair
Dah nyie jamaa mnachanganya madesa........martin ilikuwa ni komedi inajitegemea .......Martin hakuwapo katika comedy ya fresh Prince of balair . Steve alikuwa katika comedy ya family matters
 
Wakina WCW na NWO.
Wakina Scott Hall, Machomeni, Kevin Nash, Hulk Hogan,
Mieleka ya CTN baadae ITV wakaanza kuonyesha mieleka pia
Macho man alifariki kwa mshtuko baada ya kupata ajali.......alikuwa anaendesha jeep akiwa na mkewe ghafla akapata heart attack gari ikahama njia ikagonga nguzo akafariki papo hapo kwa mshtuko wa kishindo cha kugonga gari.

Mcheza mieleka mwingine ni Chriss Buenot.....alimuuwa mkewe.....mtoto wake na yeye akajimaliza.
 
Neighbor, everybody need good neighbor........ Halafu kulikuwa na mziki wa kibongo unasumbua enzi hizo sijui nani kapiga. Kukurukakala zako wewe zitakuponza acha we acha we, kukurukakala zako wewe zitakuponza brother sister.
Huyo alikuwa anaitwa mkali SOSSY B. Kuna kadada mule katika video yake kalivalia top ya rangi ya Pink anaitwa joan nimemuona instagram anauza vipodozi podozi........halafu ile shooting nahisi ilifanyiwa mitaa ya tabata relini maana kwa miaka ile ukiacha ilala sehemu palikuwa panakuwa ilikuwa ni tabata.
 
Neighbor, everybody need good neighbor........ Halafu kulikuwa na mziki wa kibongo unasumbua enzi hizo sijui nani kapiga. Kukurukakala zako wewe zitakuponza acha we acha we, kukurukakala zako wewe zitakuponza brother sister.
Na wimbo wa OYaaaaa msela Oyaaaaa........kwenye shooting utamuona RUGE wa clouds anachana......akiwa na akina osman njaidi
 
Samcezar Kiongozi umetisha mno maana page kama mbili umezimiliki unatoa ufafanuzi vipindi na wahusika wa vipindi hivyo [ITV, DTV, CTN]

Usije kusema mpaka CEN ulikuwa unajua vipindi vyake na watangazaji wake? lol

*** DTV mwanzoni ilikuwa inaitwa Dewji Television ili uweze kuiona enzi hizo inabidi uwe unaishi maeneo ya mjini na yanayopakana nayo**
 
Macho man alifariki kwa mshtuko baada ya kupata ajali.......alikuwa anaendesha jeep akiwa na mkewe ghafla akapata heart attack gari ikahama njia ikagonga nguzo akafariki papo hapo kwa mshtuko wa kishindo cha kugonga gari.

Mcheza mieleka mwingine ni Chriss Buenot.....alimuuwa mkewe.....mtoto wake na yeye akajimaliza.
Yesu kristo tuokoe hichi kizazi
 
Back
Top Bottom