John ngayoma kafariki lini tena jamani???? Uwiiiiiiiiiee uwiiiiiiiiieee yeuwiiiiiiiiiii auwiiiiiiii, udongo utatumaliza jaman uwiiiiiiiiieeeeeSuzan Mungi......Faudhia Taabod.......Hayati John Ngahyoma ( alikuwa sana kwenye habari za biashara)…………… Auntie Tumaini kipindi cha watoto wetu.....nakumbuka katuni ya sonic the hedgehog......captain planet.......the Flistones.......
Ha ha ha ha ha sijui kanaitwa nani vile ngoja nikagoogle jina lake.
steve.. kama una dstv huwa inarudiwa kwnye CBS reality kama skoseiJamaa alikua anaitwa nani mkuu
journey to the far east.......kina wookongView attachment 402172kuna hii pia...ilikua na jina lake ila nimelisahau...adi wahusika nilikua nimeweka majina ya kichwani enzi izo ila nimesahau yote [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Family matter Jamaa hatari utacheka sanaView attachment 402149hivi mnamkumbuka jina huyu jamaa..? ...vichekesho vyake vilikua itv miaka hio sijui vilikua vinaitwaje
Mr T kafarik lini...?.. mbona bado yupo..! Ebu nenda Google kaakikishe...au kuna Mr T mwingne nisiemfahamu..?Hivi mr. T kumbe alinyooka dah R.I.P
Muda sana amefariki ila ni miaka hii ya 201*John ngayoma kafariki lini tena jamani???? Uwiiiiiiiiiee uwiiiiiiiiieee yeuwiiiiiiiiiii auwiiiiiiii, udongo utatumaliza jaman uwiiiiiiiiieeeee
Masikini halafu kalikuwa kana mwili wa kitoto hakakui wala hakaongezeki ila kalikuwa so sexy.Myra Monkhouse,
Kafa siku nyingi kweli
Jessy na Backer......daaah nilikuwa nampenda yule dada alivyokuwa ameanza kupendana na msikaji nikaanza kuona wivu.......aisee nilikuwa dogo lakini nilikuwa nahisia za mapenzi juu ya huyo dada Becker.Life goes On
Moja ya TV Shows za kwanza kwanza kabisa ITV
Halafu mama yake alikuwa ni mtangazaji wa DTV na baadae chanel ten..........Mjomba mtoto anaitwa martina aliimba lugha ya kitaliani
nazitafuta sana series za huyo jamaa Family masters...kipindi hicho nilikua naangalia tu lakini sielewi lugha ila nilikua napenda vituko vyake tuThe Family Maters.......ninayo hapa kwenye laptop huwa naicheki sana......ha ha ha ha ha anaitwa STEVEN ULCER ........jembe la mr. winslow.....admirer wa Laura binti wa mzee winslow na dada yake Edward.......
Halafu kama utakumbuka vizuri katika episodes za mwanzo katika familia ya mr. winslow kulikuwa na binti mtoto wa familia pale inapoanza utamuona nadhani huyo dada nikaja kujua juzi kati kuwa aliacha kuigiza episodes na seasons zilizobaki kwasababu aliabza kuigiza pornography nadhani ndio sababu ya kusitisha mkataba wa kuigiza ile series.
eeeeewaaaaa basi ukiona hilo chata ujue kifuatacho I.T.V ni kichapo kwa maadui.......kamziki kake sasa......kale kakinanda halafu kalikuwa kakiimbwa jamaa anarusha mateke tu.
Namuona mtu mzima bobby akiwa na dada yake pamoja na nzee mzima lorezo lamas yaani unatamani wasizeeke watengeneze tena......
Ila unajua nini miaka ya nyuma ukitazama movie za mbele yaani unaona waigizaji kama malaika fulani hivi yaani unawakubali hadi basi......maana kipindi hicho daaah yaani nilikuwa nawahusudu hawa mastaaa sio kama sasa hivi nawaona kama watu wa kawaida. Halafu kuna movie ya hii series imetolewa mwaka jana inaitwa the NIGHT RYDER......gari wametumia ni mustang.
Hiyo katuni ya spinach nadhani si nyingine ila POPEYE..........na katoto kake juniour.......basi na mimi walinichotaga akili bi mkubwa akipika mchicha nachukua kikopo naweka mcicha halafu naubwia kama popeye eti niwe na nguvu....loh[emoji23]Katuni ya kimba
Katuni ya spinach daah ili sio jina lake ningefahamu jina lake ingekua poa sana