Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

Suzan Mungi......Faudhia Taabod.......Hayati John Ngahyoma ( alikuwa sana kwenye habari za biashara)…………… Auntie Tumaini kipindi cha watoto wetu.....nakumbuka katuni ya sonic the hedgehog......captain planet.......the Flistones.......
John ngayoma kafariki lini tena jamani???? Uwiiiiiiiiiee uwiiiiiiiiieee yeuwiiiiiiiiiii auwiiiiiiii, udongo utatumaliza jaman uwiiiiiiiiieeeee
 
Kwenye taharifa ya habari itv kulikuwa na mdada anaitwa Asha mtwangi,alikuwa na sauti nzuri sana
 
John ngayoma kafariki lini tena jamani???? Uwiiiiiiiiiee uwiiiiiiiiieee yeuwiiiiiiiiiii auwiiiiiiii, udongo utatumaliza jaman uwiiiiiiiiieeeee
Muda sana amefariki ila ni miaka hii ya 201*
 

Life goes On
Moja ya TV Shows za kwanza kwanza kabisa ITV

Jessy na Backer......daaah nilikuwa nampenda yule dada alivyokuwa ameanza kupendana na msikaji nikaanza kuona wivu.......aisee nilikuwa dogo lakini nilikuwa nahisia za mapenzi juu ya huyo dada Becker.
 
Mjomba mtoto anaitwa martina aliimba lugha ya kitaliani
cb04e7f92ea8bfc42ec4b2726cc752ba.jpg
Halafu mama yake alikuwa ni mtangazaji wa DTV na baadae chanel ten..........
 
Hahaha...
The Family Maters.......ninayo hapa kwenye laptop huwa naicheki sana......ha ha ha ha ha anaitwa STEVEN ULCER ........jembe la mr. winslow.....admirer wa Laura binti wa mzee winslow na dada yake Edward.......

Halafu kama utakumbuka vizuri katika episodes za mwanzo katika familia ya mr. winslow kulikuwa na binti mtoto wa familia pale inapoanza utamuona nadhani huyo dada nikaja kujua juzi kati kuwa aliacha kuigiza episodes na seasons zilizobaki kwasababu aliabza kuigiza pornography nadhani ndio sababu ya kusitisha mkataba wa kuigiza ile series.
nazitafuta sana series za huyo jamaa Family masters...kipindi hicho nilikua naangalia tu lakini sielewi lugha ila nilikua napenda vituko vyake tu
 
Ila unajua nini miaka ya nyuma ukitazama movie za mbele yaani unaona waigizaji kama malaika fulani hivi yaani unawakubali hadi basi......maana kipindi hicho daaah yaani nilikuwa nawahusudu hawa mastaaa sio kama sasa hivi nawaona kama watu wa kawaida. Halafu kuna movie ya hii series imetolewa mwaka jana inaitwa the NIGHT RYDER......gari wametumia ni mustang.
 
Katuni ya kimba
Katuni ya spinach daah ili sio jina lake ningefahamu jina lake ingekua poa sana
Hiyo katuni ya spinach nadhani si nyingine ila POPEYE..........na katoto kake juniour.......basi na mimi walinichotaga akili bi mkubwa akipika mchicha nachukua kikopo naweka mcicha halafu naubwia kama popeye eti niwe na nguvu....loh[emoji23]

Halafu hiyo uliyoandika KIMBA nadhani ni SIMBA the white lion.
 
kuna movie fulani ilikuwa inaonyeshwa komandoo kipensi achana na deadly pray jamaa ana ndege wake aina ya tai anamuongoza kama kuna hatari mbele, then kuna nyingne steringi fundi jamaa alikuwa mtundu mtundu kufuli zote alikuwa anazingua, nisaidieni majina kwa anayezijua, ( hayo ni majina niliyokuwa nawaita pindi nipo chalii)
 
Back
Top Bottom