mkaruka ataja rinu
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 3,527
- 2,469
Vipindi vya muziki ITV: Muziki kasikasi, Music Jam Adelic, Music Rastrat
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah umenikumbusha mbali mkuuTamthilia ya The passion, nmemkumbuka timmy, bibi mchawi tabitha, kay, miguel, simone
Pia The crow
Jumapili ilikua ni shivooo na akina bajeee (nguruwe)Watoto show na enzi zile kilikuwa kinaendeshwa na dogo Eddie Sultani
Ahaaa na pik pik lake.babi,ile movie ya trentrax na ile ya V jamaa wanakula panyaMkuu hujanitendea haki kumsahau rino lenz (sijui kama nimepatia kuandika jina ila ujumbe umefika)
Bila kusahau DTV walikua wanaonesha mieleka ya kina hulk organ na stingJumamosi itv walikuwa na hekaya za journey to the west a.k.a brother monkey sun wukong, zhu bajie nguruwe na master shifo hsuan tsan. Pia katuni za kina john quest, silver hawks na popeye the dreamer.
Nakumbuka pia tangazo la michael power na katili hekta dekta kama movie flani hivi ya kuitangaza bia ya guiness
Kule ctn na ndugu yake cen katuni network kila saa kumi jioni. Tangazo la tritel watu wamebeba bonge la simu.
Dtv tulikuwa tunaona ligi ya uingereza kila wiki mchambuzi dakta leakey stori nyingi. Pia kulikuwa na vitimbi vya mzee majuto, mwanachia, mangushi na gladys zipompapompa
Wana jamvi leo nimeona japo turevew miaka hii ya nyuma vipindi vya television enzi zile 1994 kuibukia miaka ya 2000. Binafsi nakumbuka mbali sana hasa vipindi vya television ITV mfano Egoli place of Gold, 21 jump Street, Time trax, movie ya V, Rino Renz, vichekesho Kama Fresh Prince of bell air, family matters, Living Single ya Queen Latifa, Tausi ya mjuba, Vitimbi(masakuu, Ojwang' Othrong'ong'o) Vioja Mahakamani, Mambo hayo ya kina Waridi, Sumbi, bocha na Aisha. Pia kulikuwa na Tamthiliya kama The young and the restless, Sun seat beach, na Acapulco bay.
Aidha nakumbuka tulikuwa tunaangalia UEFA kupitia CFI(Canal France International). Matangazo nakumbuka kama Revola, komoa, lotion ya Jambo, hebu vingine mnisaidie CTN na DTV. Je kipindi kile watangazaji unawakumbuka? Wa ITV, CTN, na DTV. Mimi kwa itv namkumbuka Suzan Mongi nilimpenda sana sana. Karibuni tuflash back jamani.
Egoli, the place of Gold. Hii ndiyo ilianza kwanza halafu ndiyo Isidingo ikafuata!Isidingo the need , na bado kitu kinawasha moto hatare
Days of our lives, mtangazaji namkumbuka Rahma azizi, tangazo la mwanachia la mafuta ya korie mafuta bora ya kupikia, jaman nimeamini Old is Gold
NYELELE [emoji777]NIMEANZA KUANGALIA TV 1999 KWA MAZISHI YA NYELELE TENA KWA JILANI MTAA WA 4 KUTOKA KWETU HAHAHA ZAMAN BHANA
Umekula marage ya wapi?NIMEANZA KUANGALIA TV 1999 KWA MAZISHI YA NYELELE TENA KWA JILANI MTAA WA 4 KUTOKA KWETU HAHAHA ZAMAN BHANA
Hii nilikuwa naangalia yote weekend wakati wa marudio, maana weekdays lazima uwe shule. Kulikuwa na SOLID STATE PHYSICS enzi izo ya Dr. Kashinje. Nawakumbuka wahusika hadi leo km akina mzee Victotr Kirikisi, Stephano, Marlena, Carry, Sami, Lucas, Bo Brady, John Blake, Mzee Roman (mume wa marlena) Hope Brady.... ilikuwa enzi hizo za ujana wetu
Naona kama bdo ipo ila wahusika wote kama walishabadilika, sura zote ngeni sasa hivi
Watch Days of our Lives Episodes - NBC.com