Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

Kweli miaka inakimbia hii kumbukumbu ni ya miaka 24 iliyopita; waliokuwa vijana wakati huo (25) sasa hivi wana 49.
Hapana mkuu piga hesabu zako vzr
 
Kipindi Hicho Tunaangalizia TV kwenye ofisi ya Chama! Tamthilia ya wausssie - Neighbours, The Comish na The Renegade! Lorenzo Lamas!
Wapi Laura George! Anorld Lazaro na Ahmed Kipozi.
The Comish si kalikuwa kazee flan hivi ITV ilikuwa inaoneshwa
 
dj nani yule kipi di cha jumapili saa nane hadi 10 anashindanisha wanamuziki raia wanapiga simu Misanya bingi now adaysDr
Yes na Misanya Bingi alikuwa na kipindi cha chemsha bongo unaulizwa swali ukikosa unagongewa kipusa [emoji3]
 
Nakumbuka miaka iyo uswaz Temeke uko ukisikia CTN imekamata ujue sehem kuna shughuli ubwabwa wa bure mtaani [emoji1][emoji1]
TV zilikuwa za kuunga na gundi
 
2018 - 1994 = 24 (miaka 24 imeshapita)

Sasa kama wakati huo ulikuwa kijana wa miaka 25 wakati unacheki hizo game DTV leo hii ina 25 +24= 49.

Tayari shikamoo kibao tu mtaani....miaka inayoyoma mkuu.
Duuh kweli mzeee ila enzi hizo nilikuwa na 10 duuh miaka imekimbia mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…