Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The Comish si kalikuwa kazee flan hivi ITV ilikuwa inaoneshwaKipindi Hicho Tunaangalizia TV kwenye ofisi ya Chama! Tamthilia ya wausssie - Neighbours, The Comish na The Renegade! Lorenzo Lamas!
Wapi Laura George! Anorld Lazaro na Ahmed Kipozi.
2018 - 1994 = 24 (miaka 24 imeshapita)Hapana mkuu piga hesabu zako vzr
Yes na Misanya Bingi alikuwa na kipindi cha chemsha bongo unaulizwa swali ukikosa unagongewa kipusa [emoji3]dj nani yule kipi di cha jumapili saa nane hadi 10 anashindanisha wanamuziki raia wanapiga simu Misanya bingi now adaysDr
Duuh kweli mzeee ila enzi hizo nilikuwa na 10 duuh miaka imekimbia mkuu2018 - 1994 = 24 (miaka 24 imeshapita)
Sasa kama wakati huo ulikuwa kijana wa miaka 25 wakati unacheki hizo game DTV leo hii ina 25 +24= 49.
Tayari shikamoo kibao tu mtaani....miaka inayoyoma mkuu.
Ha ha ha unaogopa mkuu; usiwe na hofu uzee dawa.Duuh kweli mzeee ila enzi hizo nilikuwa na 10 duuh miaka imekimbia mkuu
Muhenga😀Nakumbuka ITV walipozindua tu wakaanza na World Cup 1994 USA. nilikuwa nakesha sitting room peke yangu hadi alfajiri, wakati huo nikiwa kidato cha nne.
Hapa namkumbuka LindiNamkumbuka Dama na mzee Kasiri