Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

Police academy. Love thy neighbour.Africa journal (nchi yetuu).Olympic 1996 Atlanta Nigeria iliwika sana.Mataifa ya Africa Bafana bafana.Karate kid movie.Kora Africa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka vipindi kama Mambo hayo na Maisha pale ITV na kwa upande wa Channel Ten kulikuwa kuna vipindi kama Nani ni nani na Muziki motomoto.
Pia dada yetu Maria Sarungi alikuwa na kipindi kinaitwa "Facets" na bila kumsahau Jenerali Ulimwengu na kipindi chake cha 'Jenerali on Monday'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…