Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

Police academy. Love thy neighbour.Africa journal (nchi yetuu).Olympic 1996 Atlanta Nigeria iliwika sana.Mataifa ya Africa Bafana bafana.Karate kid movie.Kora Africa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 402149hivi mnamkumbuka jina huyu jamaa..? ...vichekesho vyake vilikua itv miaka hio sijui vilikua vinaitwaje
Amekua mtu mzima sana
Mayla alikufa pamoja na mother winslow
Saivi ile nyumba walioigizia bado ipo
Screen%2BShot%2B2017-09-29%2Bat%2B11.54.10%2BAM.jpg
59cf7f5028430.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka vipindi kama Mambo hayo na Maisha pale ITV na kwa upande wa Channel Ten kulikuwa kuna vipindi kama Nani ni nani na Muziki motomoto.
Pia dada yetu Maria Sarungi alikuwa na kipindi kinaitwa "Facets" na bila kumsahau Jenerali Ulimwengu na kipindi chake cha 'Jenerali on Monday'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom