Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

Hivi yule mdada aliyekuwa ana host vipindi vya watoto ITV alikuwa anaitwa nani vile?

Mdada mmoja mwembamba hivi...[emoji8]
 
Kuna ule mchezo i mean tamthiliya ya kibuyu sijui kama kuna anaeikumbuka aiseee nilikua naogopa si mchezo nilikua naangalia huku nimeziba macho kwa mikono halafu nachungulia
Hahahaha kibuyu..naikumbuka sana hii tamthilia mkuu..uchawi ulikua mwingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…