mdundo ngoma sana
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 1,002
- 955
Journey to the west
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi siku ile alivyodundwa na Holyfield nakumbuka tulikuwa kama wagonjwa wiki nzima kijiwe chetu chote hakukaa mtu.Kila mmoja alijifungia nyumbani anaugulia😀Hahaha we jamaa umenikumbusha nilivyokesha siku moja hadi saa 11 asubuhi nikazidiwa na usingizi nikakosa pambano la Tyson aiseee
Kweli mkuu hebu waambie warudieMwenye email au simu ya itv nataka niwashauri wamepoteza mashabiki sana zamani walikuwa super kweli sikuhizi ikiisha tu habari basi zamani walikuwa na vipindi vizuri mno wao ndo walileta tamthilia za kikorea zilipata mashabiki sana hata katuni za watoto enzi hizo kina ed edd eddy dexter powerpuf girls ben ten etc
Jengua yupo mkuu ameludi tena kwenye hizi bongo movie kuna siku nilimbahatisha nilikua kwenye basi naenda moro waliweka movie yake mi huwa sio mpenzi wa bongo movie sana kwasababu utakuta mtu anawaza miaka kumi iliyopita alafu unakuta picha ya magufuli ukutani kama raisSijui jengua yupo wapi