jimmymziray
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 816
- 515
Tangazo la chai jaba na lile la jambo lotion
Hili liliwika 1998 kipindi cha kombe la dunia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tangazo la chai jaba na lile la jambo lotion
Hii ndio ya yule bibi mchawi?
ITV kulikuwa na The Bold and the beautiful
View attachment 402149hivi mnamkumbuka jina huyu jamaa..? ...vichekesho vyake vilikua itv miaka hio sijui vilikua vinaitwaje
Hyo rinorenz 21jumpstreet umenikumbusha mbali sana ndugu yangu natamani one day virudiwe big up mkuu kwa kunikumbusha ujana
Bibi alikuwa anaitwa Thabitha
na yule mdoli mtu (Timmy the boss boss man)
Perfect stranger walikua wako vizuri sana [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
View attachment 402172kuna hii pia...ilikua na jina lake ila nimelisahau...adi wahusika nilikua nimeweka majina ya kichwani enzi izo ila nimesahau yote [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Naitafuta sana hii tamthilia iliishia wap?
Je mtandaon ipo kweli
Kale ka wimbo ka the passion nilikua nakapenda sana
Sijawahi kutazama telenovela za ukweli kama Camila na La muje de Lorenzo,tangu hapo sijaangalia tena,kwa matangazo la jambo lotion lilitisha...na wewe je? Mimi naitwa jambo doogoo