Mgumu classic
Member
- Dec 15, 2017
- 51
- 42
99?Umekula marage ya wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
99?Umekula marage ya wapi?
Halafu hawaweki viboksi viboksi vya kuziba. Ila kuna mdada akaniambia ukiweka kitambaa cheusi usoni unaona kila kitu.Walikuwa wanaunga TNT, hapo lazima watu wapigane mikasi
zamani life was so goodZile tamthilia za mida ya kubeti, akina Barbarita, Tony, Marcidita, Theresita......daaah watoto wa Kilatino wakali saana. Mambo ya Copa Cabana.
.......Acapulco Bay ! Daah walatino wazuri jamanii !
Sio jengo LA SUKITA, jengo la USHIRIKA kule juu ROOF GARDEN, meneja mwanzilishi KARIM, Afisa Usalama marehemu MPAPAI ripHiyo CTN tunaijua wahenga tu na kisha tuliokulia jiji la Makamba wa mkoani TV zilikuwa ndio zinanusa.Hata humu wa mkoa watakumbuka ITV tu na kidogo DTV.
CTN jengo la SUKITA kitambo kidogo,kwa akina Ephraim Kibonde?
Kuna vipindi kama Egoli, Hiki kipindi kilikuwa kinarushwa ITV, Ni kama isidingo ya sasa. Pia kuna Channel ilikuwa inaitwa ITV2 kwasasa nadhani ndio Channel 5, hii channel ilikuwa ni miziki tu tena ya Mbelembele.
Vipindi vya Maigizo kilikuwa kinajina sana kilikuwa Mambo hayo, waigizaji wake walikuwa wakina Bishanga, Aisha, Waridi na Rich mtambalike.
Enzi hizo channel bomba ilikuwa ITV kwa maigizo, hakuna bongo movie kabisa. Na mastar wa Movie bongo nzima hawakuzidi 15.
Mtaa mzima Tv ziko mbili, Vipindi vya michezo watoto mnajazana kwa jirani hadi kero kwa mwenye nyumba.
Ilivyo ingia miaka ya 2000, Ndio wasanii wengine wakaanza kuibuka kama wakina Muhogo, Mchungu, Cheni, Nyamayao, kibakuli, Bi hindu etc.
Sijui kwann ITV hawairudii hii michezo ya zamadi katika tasnia ya uigizaji, Ingetuburudisha sana sisi wahenga.
Jumapili ilikua ni shivooo na akina bajeee (nguruwe)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tangazo la chai jaba na lile la jambo lotion
Ha ha ha ha muhenga mkuuKweli wewe TV kitambo.
Ahaa kuwapata ni ishu sana mkuuZile tamthilia za mida ya kubeti, akina Barbarita, Tony, Marcidita, Theresita......daaah watoto wa Kilatino wakali saana. Mambo ya Copa Cabana.
.......Acapulco Bay ! Daah walatino wazuri jamanii !
Duh kweli we mhengaWana jamvi leo nimeona japo turevew miaka hii ya nyuma vipindi vya television enzi zile 1994 kuibukia miaka ya 2000. Binafsi nakumbuka mbali sana hasa vipindi vya television ITV mfano Egoli place of Gold, 21 jump Street, Time trax, movie ya V, Rino Renz, vichekesho Kama Fresh Prince of bell air, family matters, Living Single ya Queen Latifa, Tausi ya mjuba, Vitimbi(masakuu, Ojwang' Othrong'ong'o) Vioja Mahakamani, Mambo hayo ya kina Waridi, Sumbi, bocha na Aisha. Pia kulikuwa na Tamthiliya kama The young and the restless, Sun seat beach, na Acapulco bay.
Aidha nakumbuka tulikuwa tunaangalia UEFA kupitia CFI(Canal France International). Matangazo nakumbuka kama Revola, komoa, lotion ya Jambo, hebu vingine mnisaidie CTN na DTV. Je kipindi kile watangazaji unawakumbuka? Wa ITV, CTN, na DTV. Mimi kwa itv namkumbuka Suzan Mongi nilimpenda sana sana. Karibuni tuflash back jamani.
Mkuu umesahau Egoli[emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23]The Bold And the Beautiful- You'll never forget the first time..