Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

Ilikuwaje kuwaje mkuu[emoji3]
anakaa kiongozi mbele anapigwa maswali motomoto maswali magumu kuna wengine walikuwa wanataka kukimbia na wengine wanakasirika wengi walikuwa wanakataa kushiriki kipindi hiki maswali yalikuwa ya moto haswaa ndiyo maana kikaitwa kiti moto ukumbi una ac mtu anapigwa maswali analowa jasho chapachapa ilibidi kifutwe kwa kukosa weledi na kilikuwa live hapo ndo palikuwa patamuuuuu hakuna kuedit
 
Kipindi Hicho Tunaangalizia TV kwenye ofisi ya Chama! Tamthilia ya wausssie - Neighbours, The Comish na The Renegade! Lorenzo Lamas!
Wapi Laura George! Anorld Lazaro na Ahmed Kipozi.
 
anakaa kiongozi mbele anapigwa maswali motomoto maswali magumu kuna wengine walikuwa wanataka kukimbia na wengine wanakasirika wengi walikuwa wanakataa kushiriki kipindi hiki maswali yalikuwa ya moto haswaa ndiyo maana kikaitwa kiti moto ukumbi una ac mtu anapigwa maswali analowa jasho chapachapa ilibidi kifutwe kwa kukosa weledi na kilikuwa live hapo ndo palikuwa patamuuuuu hakuna kuedit
Hahahah kumbee ilikuwa channel Ten zamani DTV sio?
 
Nakumbuka miaka iyo uswaz Temeke uko ukisikia CTN imekamata ujue sehem kuna shughuli ubwabwa wa bure mtaani [emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom