Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

Halafu hivi unajua movie ya the crow ilikuwa ichezwe na mtoto wa bruce lee (brandon lee) ambaye alifariki on the set yaani akiwa katika kurekodi vipande vya hiyo filamu ya the crow. So haikutoka maana jamaa alidedi kabla haijakamilika.
ilitoka baadhi ya episodes
 
mwenye kukumbuka jina la movie itv miaka ya 2002 kama sikosei
hii movie ilikuwa inahusu kijana aliyefika umri wa kujitegemea baba yake akaamua ampeleke kijiji cha mbali lakini mkewe alikuwa hajafurahia.
maisha ya mtoto alipofika yalikuwa ya tabu kwani alikutana na kijana muwindaji akawa adui yake mkubwa.
nakumbuka alibanwa na mtego mguuni akawa anatembea na gongo mda wote na mbwa pembeni.

baada ya miaka familia yake ikaamua imtembelee lakini eneo mzee alilisahau.

mwenye kuikumbuka nataka niidownload nikawaoneshe familia yangu walikuwa wanaipenda sana.
🙏
 
[emoji120]
Ngoja wadau waje huwenda wakaikumbuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watoto show na enzi zile kilikuwa kinaendeshwa na dogo Eddie Sultani
Huwa nakumbuka kale ka mdundo ka lile tangazo la fanta ambao walikua ndio wadhamini wa kipindi na pia namkumbuka Sunday Shomary na Suzan Mungi walikua wanapendeza sana
 
Back
Top Bottom