Tukumbushane visa vya kwenye Biblia ambavyo ni funzo pia kwetu

KISA: YESU kubadilisha Maji kuwa Divai harusini.

FUNZO: Kunywa Pombe sio tatizo, tatizo lipo kwenye kulewa na unapozidisha. Walokoke wekeni Pombe katika Shughuli zenu. Mnazingua mjue!!? Pombe ni Tiba. Pombe ni Muhimu katika Maisha ya Mwanadamu & Kusheherekea harusi ni vizuri sana. Tuenjoy!
 
KISA: Siku Daudi anapakwa Mafuta na Nabii. Nyumbani kwao kwa Mzee Yese kulikua na Midume mikubwa kama yote yaani kama 7 hivi ila Daudi akiwa Chalii kabisa yaani kama 15 hivi akapewa Ukuu.

Funzo: Mungu akitaka kukupa hakuandikii barua wala haingalii upo wapi na unafanya nini wakati huo. Kila mtu anakusudi lake Duniani hapa. Kaa kwa kutulia, Fanya Ibada vizuri na Msikilize Mungu.
 
Sawa pierre
 
Mimi nadhani kuna namna lile kombea alilotumia Daudi kumuua Goliath kwa jiwe moja, limeandikwa kirahisi tu na bible ila it was a gun and bullet...najua mtasema hio tech ulikua bado huo muda ila ilikua ni namna ya Gun! Gobole la kienyeji unaweza weka hata kipande cha nondo kilichotengenezwa vzr.
David was intelligent and wise.
 
Pale kaini alipomuua khabil (abeli) akaondoka akaenda kuzaliana
Hii inanifundisha kuwa mwanaume anaweza kuzaa bila kuwa na mwanamke.
 
Watu wa Sodoma na Gomora pamoja na kufirana wao kwa wao hawakutosheka mpaka wakataka kuwafira malaika.

Hatimaye wakaangamizwa kwa moto mkubwa.
Hakika
 
😂😂ukatae wewe,labda mzabzab
 
Mwana mpotevu, aliyepewa urithi na baba yake akaenda kutapanya hela yote na malaya, akakosa hata chakula. Akapata kazi ya kulisha nguruwe.
😂nae yule alizidi,khaa!
 
Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…