Tukumbushane Wachagga waliowahi kusakata kabumbu kwa kiwango cha ligi kuu bara

Inaelekea ndugu yangu hujui ulichoandika ama umeandika bila kufahamu kiundani kile unacho kijibia.

Hujui namna ambavo vipaji kama michezo na muziki ni biashara kama biashara nyingine.

Mleta Mada kama hukumwelewa alitaka kutuonyesha kuwa sisi wachaga hatuna vipaji sana katika michezo na sanaa.

Ulitakiwa utoe Takwimu za wanakabumbu kama walivofanya wenzako hapo juu.

Kukufumbua tu, wapo pia wachaga ktk vipaji vya muziki ambao Wewe bilashaka huwajui.
Wachache miongoni mwao ni Snura, Temba, Ney wa Mitegi nawengine wataongezea wenzako.
 
Wapo hata miaka ya sitini na sabini walikuwepo.
Nimesahau tu majina,nakumbuka marehemu baba yangu alipokuwa akiwataja.
Mmoja wa mchezaji aliyecheza nao hao jamaa wa kichaga ni mmbondei Mbwana Sembwana.
 
Mungi Said - Panama PC mtoni kwa Azizi Ally
 
Unatoka mbele za watu na kujifarakamua akuwa snura ni mwanamuziki.


Unajuaaana ya mwanamuziki
 
Huu ni uzi wa wachaga ngojea tusubiri uzi mwingine kutoka kolomije
 
Unatoka mbele za watu na kujifarakamua akuwa snura ni mwanamuziki.


Unajuaaana ya mwanamuziki
Afadhali umenisaidia, maana katika wote aliotaja hapo sijaona mwanamuziki
 
Viwanja vyenyewe watapata wapi wakati washarithishana hadi makaburi...mchaga hawezi fanyia ujinga wa mpira kiwanja cha urithi
Nani kakudanganya hatuna viwanja!!!usi comment kitu usichokijua chalii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…