mpenda arage
JF-Expert Member
- Nov 10, 2015
- 1,677
- 3,806
George Minja
Jacob Masawe
Jacob Masawe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chila Tenga
Inaelekea ndugu yangu hujui ulichoandika ama umeandika bila kufahamu kiundani kile unacho kijibia.Sidhani kama kuna wachagga wengi kwenye kucheza soka.Mara nyingi kazi ambazo mchagga pesa mpaka ipite kwa mtu ndo imfikie mmmh...... mfano bendi ya muziki mtu akae golini akusanye afu yeye mwimbaji apokee baadaye kwa wachagga ngumu hii..... Ndo maana hakuna bendi uchaggani,
Ni wale waleMpare uyo sio mchaga
Ingawa sina uhakika lakini ninavyojua Bobani ni Mnyamwezi
Boban ni mnyamwezi mpira uanmpenda ila yeye bangi anaipenda zaidiharuna moshi boban na patric betweli
Kumbe alishatangulia super star huyu aliyetamba na simba mwaka 2003? Mwenyezi mungu amjaalie makazi memaSawa kabisa, baba yake mchaga ila mama yake ni mgogo. Aliugulia sana pale Chang'ombe kwa mama yake kabla hajatangulia mbele za haki.
Boban ni mnyamwezi wa unyanyembeharuna moshi boban na patric betweli
Unatoka mbele za watu na kujifarakamua akuwa snura ni mwanamuziki.Inaelekea ndugu yangu hujui ulichoandika ama umeandika bila kufahamu kiundani kile unacho kijibia.
Hujui namna ambavo vipaji kama michezo na muziki ni biashara kama biashara nyingine.
Mleta Mada kama hukumwelewa alitaka kutuonyesha kuwa sisi wachaga hatuna vipaji sana katika michezo na sanaa.
Ulitakiwa utoe Takwimu za wanakabumbu kama walivofanya wenzako hapo juu.
Kukufumbua tu, wapo pia wachaga ktk vipaji vya muziki ambao Wewe bilashaka huwajui.
Wachache miongoni mwao ni Snura, Temba, Ney wa Mitegi nawengine wataongezea wenzako.
Hamna mchaga mjinga kiasi hiki..Ingawa sina uhakika lakini ninavyojua Bobani ni Mnyamwezi
Afadhali umenisaidia, maana katika wote aliotaja hapo sijaona mwanamuzikiUnatoka mbele za watu na kujifarakamua akuwa snura ni mwanamuziki.
Unajuaaana ya mwanamuziki
Nani kakudanganya hatuna viwanja!!!usi comment kitu usichokijua chaliiViwanja vyenyewe watapata wapi wakati washarithishana hadi makaburi...mchaga hawezi fanyia ujinga wa mpira kiwanja cha urithi