Tukumbushane Wachagga waliowahi kusakata kabumbu kwa kiwango cha ligi kuu bara

Wachaga kwenye soka hawapo, ni kama Wakikuyu tu.

Wachagga sanasana ni Biashara zaidi.
 
Wachaga na mpira wapi na wapi. Ndio maana kwishoni huyo massawe akaishia kuiba gari la jeshi/mwanajeshi sijui kesi yake iliishaje....rangi yake kamili na anachoweza kufanya ikaonekana
Acha kuongea ujinga, kati ya mabeki waliocheza vizuri mpira hapa nchini ni pamoja na huyu jamaa
 
Tenga alikuwa mbabaishaji tu, hakuwa mchezaji mzuri...ni sawa na Canavarro wa Yanga wa hivi sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…