Kajirutaluka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 1,224
- 995
Jina la mwisho Chusa. Aliiechezwa ushirika. Nlidhani mnyakyusaOften Martin
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jina la mwisho Chusa. Aliiechezwa ushirika. Nlidhani mnyakyusaOften Martin
Kibooo, umenikumbusha machava we utakuwa chalii wa moshiGilbert Massawe alichezea Machava Fc kwa mafanikio
Kibooo, umenikumbusha machava we utakuwa chalii wa moshi
Mo no chalii wa hapo Rau hao machava walikuwa wakitambaNdio man[emoji1621]
Haruna Moshi Boban si Mchaga ni Mnyamwezi.haruna moshi boban na patric betweli
Boban Mnyamwezi wa Taboraharuna moshi boban na patric betweli
Boban Mnyamwezi wa Taboraharuna moshi boban na patric betweli
Huyu sio mla umbwa wa pale iringa huyuYupo Jamhuri Kihwelu na nduguye
Haruna moshi mnyamweziharuna moshi boban na patric betweli
Mchaga, ingawaje kuna Tenga ambao ni wapareMpare uyo sio mchaga
Na mimi naanzisha ya WasukumaHii thread ni ya kuendekeza ukabila, ni ya kipuuzi.
Bandeko nangaiUkoo wao wamekulia Tabora mzee wao marehemu kwa sasa alikuwa 'TT' Wa train ya kati lkn nafikiri asili yao kabisa ni Kigoma na kwa Tabora walikuwa wanaishi mtaa wa Bachu
Acha kuongea ujinga, kati ya mabeki waliocheza vizuri mpira hapa nchini ni pamoja na huyu jamaaWachaga na mpira wapi na wapi. Ndio maana kwishoni huyo massawe akaishia kuiba gari la jeshi/mwanajeshi sijui kesi yake iliishaje....rangi yake kamili na anachoweza kufanya ikaonekana
Mkuu hawa kina kihwelu ni wahehe wenyeji wa IringaYupo Jamhuri Kihwelu na nduguye
Sio fresh kabisa, hizo ni viashiria wa ukabila, unataka uwajue watu toka kabila lako waliofikia profession flani ili iweje? Mnataka kutambika?Na mimi naanzisha ya Wasukuma
MremaHamna mchaga mjinga kiasi hiki..