Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haruna Moshi Boban ni Mnyamwezi wa Tabora.haruna moshi boban na patric betweli
Tena nilisahau kumtaja, John Lyimo. Alikuwa hatari sana huyu Mangi.Sikuwahi kumshuhudia ila niliwahi kumsoma wasimu wake kwenye gazeti la Dimba la miaka ya tisini. Kulikuwa na ukurasa unaoitwa "ALIYEBOBEA" hutoa wasifu wa wachezaji mbalimbali.Kipindi hicho liko chini ya jenerali Ulimwengu, Habari Corporation yenyewe ile. Kuna mtu kama Johnson Mbwambo n.k. Ilikuwa lazima nibane shingi mia ya kununulia Dimba kila wikiend.Sio hili la sasa linaloandika Ugoro tu kila siku.Wahenga watamkumbuka LYIMO wa TPC miaka ya 1960's akichezea TPC na Kilimanjaro Sunlight /Taifa Cup na Nafikiri Tanzania.
Wachaga kweny uchezaji wa Mpira Ni ngumu kuwapata, kuna story niliwah kusikia Etiiii zaman Wachaga walikuwa wanacheza sana Mpira. Siku moja wakawa wanacheza na Timu kubwa Kwel sasa masawe akawa amewapiga chenga walinzi wa Timu pinzani jamaa akabaki na kipa peke yake, kuchek jukwaaan akaona nyomi y'all watu, jamaa ikabid akimbilie getini kuuliza mapato, aiseeee mushi mpaka sasa iv umeingiza sh ngap??? Mpaka Leo Hakuna mchaga anayetaka kucheza Mpira Kila mtu anataka agae getin akusanye hela!!!!
Tena nilisahau kumtaja, John Lyimo. Alikuwa hatari sana
Haruna moshi ni mnyamweziharuna moshi boban na patric betweli
Pale jirani na mahakama ya mwanzo Kilema. Mita chache kutoka kwa Mangi WilbadKilema
boban - taboraharuna moshi boban na patric betweli
Chaaah okanyi kapisa iyoPale jirani na mahakama ya mwanzo Kilema. Mita chache kutoka kwa Mangi Wilbad
haruna moshi ni mnyamweziharuna moshi boban na patric betweli
Nikweli tena mama mnyamwezi Baba mhaIngawa sina uhakika lakini ninavyojua Bobani ni Mnyamwezi
Ngihaichi necha sanaChaaah okanyi kapisa iyo
Hii thread ni ya kuendekeza ukabila, ni ya kipuuzi.kumbe ni mchagga?
Ingawa sina uhakika lakini ninavyojua Bobani ni Mnyamwezi