Prince Dos Santos
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 1,047
- 1,321
akina nan mzee babaMnajiita wakishua wakati hamna hata historia ya kumiliki billioni moja ya kitanzania (a half a million USD ) as middle class families does
Inaonekana haumfahamu vizuri basi, ndio anatumia jina la Mkono lakini baba yake sio yule wa Mkono Advocates, yule ni baba yake mkubwa, nyumbani kwa akina Nahreel ni karibu na kanisa la makuburi opposite na shule ya msingi nimeisahau jina lake inavyoitwa..Nahreel ni mtoto wa mukono kama umewahi kumsikia
Huyo ni Baba yake mkubwa usikariri kwao ni pa kawaida sana aiseee hata yeye mwenyewe anajua...Baba yake anaitwa Nimrod Mkono...kama unamjua haina haja kupewa maelezo kwamba Nahreel ana ushua gani..
Unafeli yeye mwenyewe anajua Nimrod Mkono ni Uncle wake baba yake jina lake mi either Zodiac au Zodok, kitu kama hicho kama sijakoseaNimrod Nkono-son
Wakuu habari zenu leo nataka tuambiane wasanii ambao kwao mkwanja upo, ambao hawafanyi mziki kwa sababu ya njaa ila wanafanya kutokana na kujijua kuwa wanavipaji
Naanza na hawa
1. Future Jnl
2.Brown mauzo
3.Bonge la nyau
4.Bob junior
5.Jux vuiton
Unaweza kuongezea wengine unaowajua ww.....
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Unatania Bila shaka
skywalker Yule mtangazaj WA rfa? Yupo sema sasa hv kabase kwenye online radio,,, anapatikan kwenye afripods ana kipindi chake kinaitwa Chill na Sky,,, ni radio talkshowSkywizzo [emoji23] [emoji23]
Saiz kapotea
sheta shetani huyuhuyu aliepewa gari na chief kiumbe
huenda mkuuSiyo kwamba hana kipaji!?
duu mkuu huyu njaa inamsumbua hadi sasa kazi yake kwa sasa nikunawisha irene sabuka mikonoHarmorapa