Tukumbushane wasanii ambao ni watoto wa kitajiri ambao hawafanyi Mziki kwa sababu ya njaa

Tukumbushane wasanii ambao ni watoto wa kitajiri ambao hawafanyi Mziki kwa sababu ya njaa

Mnajiita wakishua wakati hamna hata historia ya kumiliki billioni moja ya kitanzania (a half a million USD ) as middle class families does
 
mkwanja kwao upo.
kiasi gan cha mkwanja
kinalengwa hapa kudetermine
utajiri wa familia ya msanii
husika..
 
Nahreel ni mtoto wa mukono kama umewahi kumsikia
Inaonekana haumfahamu vizuri basi, ndio anatumia jina la Mkono lakini baba yake sio yule wa Mkono Advocates, yule ni baba yake mkubwa, nyumbani kwa akina Nahreel ni karibu na kanisa la makuburi opposite na shule ya msingi nimeisahau jina lake inavyoitwa..
 
Baba yake anaitwa Nimrod Mkono...kama unamjua haina haja kupewa maelezo kwamba Nahreel ana ushua gani..
Huyo ni Baba yake mkubwa usikariri kwao ni pa kawaida sana aiseee hata yeye mwenyewe anajua...
 
Wakuu habari zenu leo nataka tuambiane wasanii ambao kwao mkwanja upo, ambao hawafanyi mziki kwa sababu ya njaa ila wanafanya kutokana na kujijua kuwa wanavipaji
Naanza na hawa
1. Future Jnl
2.Brown mauzo
3.Bonge la nyau
4.Bob junior
5.Jux vuiton

Unaweza kuongezea wengine unaowajua ww.....

hapo kwa jux umekosea jux alikua choka mbaya namfahamu sana yule dogo kwao.
 
4e28e6bd0f4fa35acce1092a9811418e.jpg

Unatania Bila shaka
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Skywizzo [emoji23] [emoji23]
Saiz kapotea
skywalker Yule mtangazaj WA rfa? Yupo sema sasa hv kabase kwenye online radio,,, anapatikan kwenye afripods ana kipindi chake kinaitwa Chill na Sky,,, ni radio talkshow
 
P funk majani alikuwa anaimba ila akabaki kuproduce tu, kwao pesa ipo kabla ya bongo records na jamaa kashazuru nchi kibao ughaibuni. hafanyi mziki kwa njaa anamsimamo kweli kweli. ukifika studio kwake akikwambia ngoma moja 1M usikatae ukikataa unasepa hana time na wewe no njaa! sio hivi viprodyuza vya sasa hivi unashuka nao bei kutoka 1M hadi 50k afu we unaenda kupiga show ya 5M [HASHTAG]#Mae[/HASHTAG]
 
hata AT nae kwao yuko vizuri kinoma na wazazi wake hawakutaka mwanae aimbe afanye mbishe nyingine. so jamaa hafanyi mziki kwa njaa anafanya kwa mapenzi tu apate asipate he dont care.
 
Back
Top Bottom