incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,498
- 4,162
- Thread starter
-
- #101
Jamaa yupo gud......Hamna nyandu south alizamia kutafuta life kipindi kile miaka ya 2000....
Baada ya kurudishwa bongo akaanza Kufanya mishe za kiutu uzima.
Akapiga mpunga na kiukweli kibongo bongo hakuna msanii anamwingia jamaa ukitoa chibu, super nyamwela na labda masanja.
Nabii wa mungu au?Prodyuza Nisher...Baba yake ni Nabii anapesa hatari
DadeqNimrod Nkono-son
SureWee...sema kweli ?![emoji15] [emoji87]
Bimkubwa wako anawafahamu mkuumbona simfahamu hata mmoja hapo. wanaimba mziki wa aina gani ao. au taarabu
Hawa sio...Mwana FA alkuwa anakaa kwa ndugu zake upangaAY na FA
Mtoto wa Nemrod Mkono huyo mzazSasa jamaa ana ukisure gani kwa mfano?
Ni baba ake mkubwa..utake ustake..Mtoto wa Nemrod Mkono huyo mzaz
Hakuna kivip mukuu akati majina yao yapo hapo juu akina dully sykeszaidi ya jux hakuna, asilimia 99 wanafanya mziki ili maisha yaende kwasababu wengine wao elimu hawana na pia wanatoka katika familia za kimaskini
SIWAJUI WOOTE WANAIMBIA WAPI?Wakuu habari zenu leo nataka tuambiane wasanii ambao kwao mkwanja upo, ambao hawafanyi mziki kwa sababu ya njaa ila wanafanya kutokana na kujijua kuwa wanavipaji
Naanza na hawa
1. Future Jnl
2.Brown mauzo
3.Bonge la nyau
4.Bob junior
5.Jux vuiton
Unaweza kuongezea wengine unaowajua ww.....
HAHAHAHAferouz
Halafu hao wote wanajua muziki, basi tu wamepotea kwenye gemu, i miss them for reallyDataz na squizer baba yao alikua tajiri balaa