Tukumbushane: Wimbo bora wenye jina la kike...


Na huyu Ndyanao ndiye mtunzi wa kitabu cha SHIDA, ambapo wahusika wakuu ni Matika "Shida" na Sefu "Chonya of Chilonwa me"
 
Maria Nyerere Mama mpendwa kwaheri mama Maaria
Pokea shukrani zetu za dhati Maria Nyerere mamaa x2

Kwaaheri Maria Nyerere Mama
Yoyooyooo Poole Mama
Twakutakieni mapumziko mazuri
Pamoja na maisha marefu Mama x2

Mama Maria twakutakia kila la kheri Mama
mama Maria nyerere pole mama mpendwa kwaheri
Pumzika kwa amani mama Butiama kijijini x2
 

duh umenikumbusha 1985 Marehemu Ndala Kasheba alipohama kutoka OSS kwenda kwa mahasimu wake Maquis alikotunga wimbo huu.
 

Selina ulitungwa na Joseph Mulenga ingawa Gurumo ndiye muimbaji
 
Ooh selina piga konde moyo ooh selina ooh selina tutafanikiwa ooh selina aah


Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk
 
Ziada- (Kabeya Badu) IOSS


Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk
 
Ni Faulata mkuu...
Na hapa nausikiliza wimbo unaitwa Asmara toka kwa Urafiki Jazz...

Dah

Asmara oh Asmara wewe ndie ua la rohoni mwangu! Lol


Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk
 
......Old is Gold, kila nyimbo inanirudisha sehemu mbali mbali na kumbukumbu za miaka mingi nyuma!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…