Mmh!Mi mpango wa kuolewa ninao sema wa kunioa sijamuona bado
hahaha [emoji23]Huku kwetu Kwamtogole kuna bibi mmoja aliitwa Bi Lilian, hakuwahi kuolewa wala kumaliza mtoto. Aliishi kwenye chumba cha kupanga. Baadae sana user I watoto wa kaka zake walimnunulia nyumba mitaa hii hii.
Akiugua mwenyekiti wa mtaa anaitisha kilos na watu hupeana tatu a ya kwenda kumuona, kumpeleka chakula na kumbadilishia nguo.
Alivyokua na mdomo mrefu alitoka hospitali alikuwa anasema “kumbe mama Ashura anapikia kuni? Chai yake ilinishinda inanuka moshi”.
Ni Lilian alikufa kipweke sana.
AiseeeMimi pia niliwahi kuapa sitaoa ila nikaona mkasa mmoja. Soma
Kuna jamaa mmoja alikua mfanyakazi wa wa shirika fulani la umeme nchini. Ni fundi, alikua mtu wa makamo umri 40+ lakini alikua hajaoa alikua ni mtu wa totoz kula bata kwa sana. Siku hiyo katika harakati za kufanyia transformer maintenance akamwangikiwa mafuta ya transformer ya moto akaungua kuanzia shingoni mgongo wote akalazwa Regency.
Hakuwa na wakumhudumia zaidi ya dada yake ambaye alimpa huduma zote mpaka kumuogesha achilia mbali kumtawaza kila akikata gogo. Dada anachezea pumbu za kaka daily kwa miezi zaidi ya mitatu.
Sasa kama umeelewa somo hilo usioe ukifikwa na majanga ndio utajuta.
Waguna nini?Mmh!
SafiSiwezi
unamuonea wapi huyo nanii ss lkn?Waguna nini?
Binadamu hatunaga dogo [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huku kwetu Kwamtogole kuna bibi mmoja aliitwa Bi Lilian, hakuwahi kuolewa wala kujaliwa mtoto. Aliishi kwenye chumba cha kupanga. Baadae sana watoto wa kaka zake walimnunulia nyumba mitaa hii hii.
Akiugua mwenyekiti wa mtaa anaitisha kikao na watu hupeana zamu ya kwenda kumuona, kumpeleka chakula na kumbadilishia nguo.
Alivyokua na mdomo mrefu alitoka hospitali alikuwa anasema “kumbe mama Ashura anapikia kuni? Chai yake ilinishinda inanuka moshi”.
Ni Lilian alikufa kipweke sana.
Popote tuu. Tatizo sipati ombi la kuwekwa ndani. Kesho naenda kusali kwa Bushiri nikitoka VCC mpaka nioleweunamuonea wapi huyo nanii ss lkn?
mmmmmmhMi mpango wa kuolewa ninao sema wa kunioa sijamuona bado
be careful na hayo maombi ya kuwekwa ndani mamii,Popote tuu. Tatizo sipati ombi la kuwekwa ndani. Kesho naenda kusali kwa Bushiri nikitoka VCC mpaka niolewe
hahahahaha hii inaitwa kula lazima kuoga hiyariPopote tuu. Tatizo sipati ombi la kuwekwa ndani. Kesho naenda kusali kwa Bushiri nikitoka VCC mpaka niolewe
Kaa bushir ama father Mutalemwa mkkngi. Natania mwaya kiukweli sijawahi omba ila namuombeaga bby tube careful na hayo maombi ya kuwekwa ndani mamii,
Bushiri ndio kanisa gani?
Safi,Kaa bushir ama father Mutalemwa mkkngi. Natania mwaya kiukweli sijawahi omba ila namuombeaga bby tu
Nah. Nimesahau kanisa laoSafi,
father Mutalemwa...ni wa RC huyu eeh!
ukikumbuka niambie, uje unipeleke na mm nikataliii [emoji2][emoji2][emoji2]Nah. Nimesahau kanisa lao
Ntakupa mtu akupeleke ina allergy na hayo makanisaukikumbuka niambie, uje unipeleke na mm nikataliii [emoji2][emoji2][emoji2]
hahaha basi sitaki, utaniambia nitaenda mwenyeweNtakupa mtu akupeleke ina allergy na hayo makanisa