Tukutane hapa ambao hatuna mpango wa kuoa kwa Me au kuolewa kwa Ke

Tukutane hapa ambao hatuna mpango wa kuoa kwa Me au kuolewa kwa Ke

Huku kwetu Kwamtogole kuna bibi mmoja aliitwa Bi Lilian, hakuwahi kuolewa wala kumaliza mtoto. Aliishi kwenye chumba cha kupanga. Baadae sana user I watoto wa kaka zake walimnunulia nyumba mitaa hii hii.

Akiugua mwenyekiti wa mtaa anaitisha kilos na watu hupeana tatu a ya kwenda kumuona, kumpeleka chakula na kumbadilishia nguo.

Alivyokua na mdomo mrefu alitoka hospitali alikuwa anasema “kumbe mama Ashura anapikia kuni? Chai yake ilinishinda inanuka moshi”.
Ni Lilian alikufa kipweke sana.
hahaha [emoji23]
 
Mimi pia niliwahi kuapa sitaoa ila nikaona mkasa mmoja. Soma

Kuna jamaa mmoja alikua mfanyakazi wa wa shirika fulani la umeme nchini. Ni fundi, alikua mtu wa makamo umri 40+ lakini alikua hajaoa alikua ni mtu wa totoz kula bata kwa sana. Siku hiyo katika harakati za kufanyia transformer maintenance akamwangikiwa mafuta ya transformer ya moto akaungua kuanzia shingoni mgongo wote akalazwa Regency.

Hakuwa na wakumhudumia zaidi ya dada yake ambaye alimpa huduma zote mpaka kumuogesha achilia mbali kumtawaza kila akikata gogo. Dada anachezea pumbu za kaka daily kwa miezi zaidi ya mitatu.

Sasa kama umeelewa somo hilo usioe ukifikwa na majanga ndio utajuta.
Aiseee
 
Huku kwetu Kwamtogole kuna bibi mmoja aliitwa Bi Lilian, hakuwahi kuolewa wala kujaliwa mtoto. Aliishi kwenye chumba cha kupanga. Baadae sana watoto wa kaka zake walimnunulia nyumba mitaa hii hii.

Akiugua mwenyekiti wa mtaa anaitisha kikao na watu hupeana zamu ya kwenda kumuona, kumpeleka chakula na kumbadilishia nguo.

Alivyokua na mdomo mrefu alitoka hospitali alikuwa anasema “kumbe mama Ashura anapikia kuni? Chai yake ilinishinda inanuka moshi”.
Ni Lilian alikufa kipweke sana.
Binadamu hatunaga dogo [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom