Tukutane hapa ambao hatuna mpango wa kuoa kwa Me au kuolewa kwa Ke

Kuoa Ni Ubinafsi Tu, Unamzuia Binadamu Mwenzio Kama Umeemuumba Wewe, kuwa Single Safi Sana, Unapiga Taste Zote
 
Huwezi elewa umuhimu wa ndoa mpaka ukutane na mtu aliye lelewa bila mzazi mmoja.

Jiulize wewe baba yako asingemuoa Mama yako na ukaishi na mzazi mmoja ingekuaje? Kuna mkuu nimesoma anajisifu kabisa kuwa analea kwa whatsap na anaona sifa. Ukiamua kutokuoa Au kuolewa basi pia usizae sababu utatujazia binadamu wasio na utu duniani.

Mwisho: hujawahi kupenda na kupendwa otherwise usinge fikiria kutokuoa au kuolewa
 
Stop living in fear!
Maisha yatkushinda kabisa ndugu yangu!
 
Let life unfold itself!
Beautiful and wonderful wonderful world walahi!
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]huyo bibi nuksiii
 
Huogopi dhambi mkuu
 
Hahaa ...MZee baba inategemea na mwanamke mwenyew waweza kupatwa na majanga ya ajali ukajikuta unapata majanga mengine ya kukimbiwa na mke ""... so hakuna lenye nafuu hapo "" waache tu wasio oa waendlee na maisha yao ""...
 
Hii sio sababu, ukiumwa kiasi cha kushindwa kujihudumia huna tofauti na mfu kwahiyo aibu haipo yeyote anaweza kukuhudumia.
exactly madame kasie ...umetisha sna
 

ukishafanya uamuzi wakuwa single mpaka kufa kwako ushauri wangu ni kwamba hakikisha pia una bunduki yako kabisa...ukipata mikasa kama hiyo wala huchuki time unajitandika moja basi.
 
Sina mpango wa kuoa ..na wala silifikirii hilo "".. naona kabisa kuwa waliokuwepo nje ya ndoa ndio watu ambao wana enjoy mnooo maisha "" ....no stress "" hakuna kusumbuana"".... nafurahia kuwa hivi nilivyo ndoa zimekuwa kama kigenge cha wahuni " "kila siku tunasikia Fulani kamuua Fulani " ambaye alikuwa ni Mume au mkewe...""" sitaki kujiingiza kwenye huo Mkumbo "" kwa miaka hii ya sasa sifikirii hilo kabisa ...labda kuna ambacho kitakuja kunibadilisha hapo baadae ""... na siombei hilo litokee
 
No matter what ndoa ni muhimu nikimwangaliaga na mkubwa ambaye hakuoa ana maisha ya shida hana mbele wala nyuma licha ya kuwa kwenye nyazifa nzito, kuwa na familia muhimu utajijenga nakufanya ya maana

kuna la maana lipi hapa duniani lakufanya wewe...acha jazzband. la maana duniani ni furaha basi. sasakama jamaa ana furahia hayo maisha inatosha.
 
ukishafanya uamuzi wakuwa single mpaka kufa kwako ushauri wangu ni kwamba hakikisha pia una bunduki yako kabisa...ukipata mikasa kama hiyo wala huchuki time unajitandika moja basi.
Ha hahaha yanini ung'ang'anie kuishi sana ..wakati kuna kifo aisee...bila ya kusahau kuna ambao wameshawahi kufikwa na mikasa hiyo wakiwa ndani ya ndoa na wakaishia kukimbiwa na wenza wao ""... Maisha haya muoneagi mtu huruma kwa sababu mantiki ya neno maisha ni Tatizo ..so ishi vile unavyoweza huku ukiyatatua matatizo yako ambayo ndio MAISHA YENYEWE
 
kuna la maana lipi hapa duniani lakufanya wewe...acha jazzband. la maana duniani ni furaha basi. sasakama jamaa ana furahia hayo maisha inatosha.
Saaafi sioni jipya mimi katika hizi ndoa...sana sana ..huwa zinachangia mnooo kuwaacha wanaume kwenye hali mbaya ya msongo wa Mawazo na mwisho wa siku hufikwa na magonjwa ya moyo " mwisho umauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…