Tukutane hapa ambao tumeshawahi kuwapa kichapo wake/ wapenzi au mademu zetu

Tukutane hapa ambao tumeshawahi kuwapa kichapo wake/ wapenzi au mademu zetu

Sasa mkuu kwamfano mnakuwa ndani alafu mkapishana kauli wewe mwanaume unataka muyamalize chumbani bila majirani kujua naunataka muyamalize kwakuongea tu ila mwanamke anaanza kubwabwaja kwasauti kubwa ili tu majirani wajue kuwa nayeye huwa anakuchamba kila unapompoza kuwa ongea basi kistarabu kwasauti yachini unavyofanya hivyo unamtangazia nani ila ndio kwanza anaongeza sauti sasa mtu wahivyo utamtulizaje bila mabanzi?
Hahahaha, unampa stopper 3 za maana anakumbatia mto na kilio cha kimya kimya. Akitulia tu unambembeleza na dudu
 
hakuna kitu kama hicho, mwanaume ni either mpigaji au sio mpigaji hakuna cha iko siku, me siwezi kupigwa wewe
Huwez kupigwa kozi unajielewa,wezanko hao wanatafutwaga kupigwa
 
Naunga mkono mleta mada nilikua na Demu giant mkurya. Kanianzishia timbili watu wakajaa kanilamba kama vibao viwili kanibana ukutani nilihisi utumbo kucheza. Nilitulia nikaruka kichwa matata kama baba ubaya nikilenga USO MTU chalii midamu chapachapa . toka siku hiyo mwanaume natamba na heshima ikawepo. Japo mambo yalifika police
 
Nilipompiga makofi mawili Tu ndo ikawa sababu ya kuniacha,miaka 9 sasa lakini Kama tumeachana Jana.
 
Naunga mkono hoja mm nilikua najifanya sana mbabe halaf maneno mengi kwa ba watoto wangu weee...kuna siku aniwasha kofi 1 takatifu tangu siku hiyo nilibadilika kutoka kwenye usista duu na kua mama wa familia[emoji2]
Hahahah hii ndio faida ya kichapo!
 
Kupigwa kwa mwanamke ni suna, wengine wanafurahia ile hali ya kurudishwa kwenye mpaka na wanaume zao. Utakuta anazingua makusudi akijua kuwa atapigwa tu ila anataka action.
wanaweke wa hivyo wapo, jamani huwa nabaki kushangaa, nawajua wanawake kama 5 hivi na ni rafiki zangu, huwa nawauliza hivi huo moyo wa kuvumilia kipigo mnautoa wapi? huwa nawauliza hivi mnahisi mkiachana na hao watu hamtapata wanaume wengine au ni vp? mana sio kwamba wana shida ni watu wanaoweza kumudu maisha bila hao wanaume lakini mwee, nimeshaacha hata kuwashauri mana naona napoteza muda tu, wakinihadiithia nabaki kuwaangalia tu,
 
Unafki JF. .Watu hawataki kuonekana wanapiga au kupigwa na wenzi wao.
(Hahahaha jf nikiboko kila MTU anajifanya kastarabika kila sector yaani kama vile bongo move)


Nimependa kuwa unatambua kutompiga mpenzi wako (wa jinsi yoyote) ni USTAARABU.

Nikutakie wiki njema. [HASHTAG]#jitafakari[/HASHTAG]
 
Ni kweli wanahitaji kuwa busted ili wakae Sawa kiakili na kipsychologia pia,japo sjawah ila siku nkipta ntampa mabanz kwasasa bado niponipo
 
Haaah nimekumbuka kipindi npo chuo demu wng alinifumania nim cheat sasa nikawa nikamfata kumuomba msamaha si akanipiga kofi aisee nikawa mpole tu nikasema huyu ngoja uku na uku baada ya mda kidogo nami nika kabamba kimeni cheat aisee nilimpiga kipigo cha mbwa koko
Hahahahahah sasa si ungemuacha tu mzazi
 
Kwa kweli tangia niingie kwenye mahusiano sijawah pigwa hata kibao, yaani ninahamu ya kuchwapwa hata makofi jaman
Ukiona hupigwi ujue una matumizi mazuri ya kinywa chako. Hio ndio siri pekee.

Ukitaka kuamini hebu badilisha hapo, jibu majibu ya karaha na mkato mkato("kwahio, "mi nfanyeje", nilikuomba au shobo", acha mambo ya kike basi") inshort majibu ya kunya kunya muda wote kwa muda wa week 2 tu utapata unachokitaka usisahau kuleta mrejesho.
 
Tuliotembezewa kichapo heavy na mwanamke mwanzo mwsho tunaruhusiwa kuchangia


Ila ajabu kidogo yan wote umu makomando, yan nivipgo tu[emoji3] [emoji3]
 
Ukiona hupigwi ujue una matumizi mazuri ya kinywa chako. Hio ndio siri pekee.

Ukitaka kuamini hebu badilisha hapo, jibu majibu ya karaha na mkato mkato("kwahio, "mi nfanyeje", nilikuomba au shobo", acha mambo ya kike basi") inshort majibu ya kunya kunya muda wote kwa muda wa week 2 tu utapata unachokitaka usisahau kuleta mrejesho.
Haujawahi kua na mwanamke mwenye majibu ya ivyo..kwani nilikuomba.".umeulizwa..nimekutuma..si ufanye mwenyewe"
 
Back
Top Bottom