Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hahahaha, unampa stopper 3 za maana anakumbatia mto na kilio cha kimya kimya. Akitulia tu unambembeleza na duduSasa mkuu kwamfano mnakuwa ndani alafu mkapishana kauli wewe mwanaume unataka muyamalize chumbani bila majirani kujua naunataka muyamalize kwakuongea tu ila mwanamke anaanza kubwabwaja kwasauti kubwa ili tu majirani wajue kuwa nayeye huwa anakuchamba kila unapompoza kuwa ongea basi kistarabu kwasauti yachini unavyofanya hivyo unamtangazia nani ila ndio kwanza anaongeza sauti sasa mtu wahivyo utamtulizaje bila mabanzi?