City Rider
JF-Expert Member
- Jul 31, 2022
- 402
- 1,212
Mimi ni Mnajimu kutoka jangwa la sahara nikiiona couple kwa macho najua kuna talaka baadae au la[emoji1]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii 50/50 ndio inayo haribu ndoa nyingi50/50 kesho kutwa nauza nyumba za wanandoa na kiwanja, ni kizuri balaaa, mahakama haijawaji kosea, huwezi mfubaza binti wa watu ukamzalisha akakondeana afu unataka aondoke mikono mitupu
Hapana ni 50/50
Athante mahakama
Hii coment imeegemea upande mmoja..!! Yaani muuzaji uko 100% biased..!! Watu kama nyie kuamua kesi ndo mnaoneaga watu..!! Mahakama imetoa 50/50 ambayo ndiyo haki..!! Wewe unaona binti kafubazwa, na jamaa amenawili. As if kilichokuwa kinaondoka kwa binti hadi akafubaa, kimeenda kwa mwanaume..!!50/50 kesho kutwa nauza nyumba za wanandoa na kiwanja, ni kizuri balaaa, mahakama haijawaji kosea, huwezi mfubaza binti wa watu ukamzalisha akakondeana afu unataka aondoke mikono mitupu
Hapana ni 50/50
Athante mahakama
Tugegedane tuu mwalimu hamna jingineMahusiano ni kiza kinene
Why the hate jamani50/50 kesho kutwa nauza nyumba za wanandoa na kiwanja, ni kizuri balaaa, mahakama haijawaji kosea, huwezi mfubaza binti wa watu ukamzalisha akakondeana afu unataka aondoke mikono mitupu
Hapana ni 50/50
Athante mahakama
Akili mbovu tu. Mungu na Shetani wako wapi? Wamekujaje kwenye ndoa za watu?! Kuweza au kushindwa,ni maamuzi binafsi. Madude wanayoyafanya,wanakuwa wametumwa na nani?Umeeleza vizuri sana mkuu,kiufupi ndoa ni kama vile kazi,unaweza kuiona mbaya wakati unayo lakini ukishaacha ndio unagunduwa uzuri wake.Mara nyingi mpaka mnafikia kutalikiana shetani anakuwa ndani yenu kwa kiwango cha juu sana,na kwakuwa hamkumtanguliza Mungu kwenye maisha yenu inakuwa ni rahisi sana kutoleana talaka,lakini baada ya pale utagundua vizuri vyote vilivyokuwepo kwa mwenzio.
Na mara nyingi move unayokwenda kuifanya ya kuchukua mtu mwingine,ukiifanya kwa papara majuto yake huwa ni mabaya sana,labda tu kama utafanikiwa kumpata mtu sahihi.Ndio maana hata katika Kitabu cha Malaki 2:16 Mwenyezi Mungu anasema nachukia kuachana...
Bro nimekua malaya sina upendo siamini kiumbe chochoteUmeandika kwa huzuni sana bro toa talaka tembea mbele nakuhakikishia ukirudisha moyo eti kwa kuwa mna watoto utapigwa tukio ambalo duniani na mbinguni hutasahau huyo mtoto wa miaka 7 sheria inakurusu kuwa nae miaka hii kwa sasa walezi wa watoto wamekuwa ni wanaume na sio wanawake.
Mwanamke ambaye mmetengana mwaka then leo umrudishe eti watoto bro nimekaa pale episode ya pili itakayokukuta ni balas
Pain;bHabari wanabodi wenzangu, Katika maisha kuna kuoa na kuolewa, hivyo kuna kutoa talaka na kupewa talaka.
Katika hali zote hizo maisha yanaendelea, kuna ambao hufanikiwa zaidi au kurudi nyuma kimaisha chanzo kikiwa ni talaka. Changamoto na faida pia hujitokeza, wengine hufikia hali kujuta kwanini wametoa talaka au kupewa talaka, lakini pia kuna wengine hufikia mahali husema bora alivyoacha au kuachika.
Wengine wanashindwa kumove on wanabaki na majeraha milele, wengine hupoteza watoto, mali na kazi bada ya talaka.
Karibuni wadau tuliowahi kuingia kwenye ndoa na kukutana na talaka au kuachana na wenza wetu ambao tulidhani tutazikwa nao.
Pia wapo watoto humu ambao walishuhudia wazazi wao wakipeana talaka, je maisha yalikuaje?
HujaulizwaMkuu mimi nime move on japo sijutiii kuwa nae, aliniacha bada ya yy kupangiwa kazi serikalini Mwanza wakat mm npo Dar, so nikamkosa hivyo
PoleHakuna kitu kinaumiza watoto kama talaka kwa wazazi si jambo la kufurahisha kabisa, Mimi napita zangu🚶
NaamWanasema talaka ikiandikwa hata mbingu zinatikisika sababu malaika wa Mungu ndo watakaoumia means watoto.. Wapo wengi wameishia kuishi maisha mabaya na kupoteza fute zao kisa wazazi waliachanaa...!! Naamini mpaka wazazi wanaachana huwa wanakuwa wamefika hatua ya mwisho kabisa ya kuvumilianaa japo inauma sana ila ni bora kuliko Kuuana... Kweli humpendi mama yao ila fanya kwa ajili ya wanao japo inauma sana hasa kama ni Usaliti unahusika.
Beta maleMimi nilienda kuomba talaka mwenyewe baada ya kushindwa kuvumilia. Tulikuwa hatuna watoto, ila sijawahi jutia uamuzi wangu maana stress nilizopitia Mungu ndio anajua. Alihamia kwa mchepuko kabisa, lakini na yeye kaja kuachwa baada ya mimi kuondoka. Mpaka leo anajuta.
Naona kaka tu ndio ana matatizo,wewe je?Atajijua mwenyewe na Mungu wake. Yaani uchepuke halafu unidhulumu haki zangu. Niliondoka nikaenda kuanza upya. Lakini Mungu si Athumani