Tukutane hapa tuliowahi kutoa na kupewa talaka, tujadili maisha baada ya talaka

50/50 kesho kutwa nauza nyumba za wanandoa na kiwanja, ni kizuri balaaa, mahakama haijawaji kosea, huwezi mfubaza binti wa watu ukamzalisha akakondeana afu unataka aondoke mikono mitupu
Hapana ni 50/50

Athante mahakama
Hii 50/50 ndio inayo haribu ndoa nyingi
 
Kuna demu flani Alikua n jirani yangu wakati nipo zangu Dar.. alikuaga ananambia anataka kuachana na mumewe aanze maisha yake kiukweli nilikua nashangaa maana walikua wanaiahi freshi Ila huyo demu n pisi daraja la kwanza sema kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu ningetupia picha yake...

Walikuaja kuachana miezi michache...
Yule demu sahivi ana bonge la life....
 
Mimi sio mhanga wa kutoa aubkupokea talaka lkn kuna scenarios kama mbili nilishashuhudia it's real bad na in either way talaka haikwepeki;
Scenario 1
Wamelala usk mke anaamka kwenda kunywa maji, coincidentally mume anavuta mto ili apate kulaza kichwa vzr anahamaki anakutana na kisu chini ya mto, mume anamuuliza mke hiki kisu ni cha nn hapa mke anababaika lkn mwishowe mke anakili kuwa alitaka amchome mume kisu kwa sababu ya maudhi aliyoyafanya!

Scenario 2
Mke anapanga njama na watu aliotiwa na rafiki yake waende wakamvizie mumewe eneo fulani la daraja ili akiwa anatoka kazini wamuue mume ili mke abaki na mali. Bahati mbaya sana mmoa wa waliopewa kazi ya kumuua qmeingiwa na imani na anamfahamu mume vzr, kbl ya kutekeleza uuaji ameingiwa na imani na kumfuata mume wa yule mama na kumweleza mikakati na kuonesha kiasi walichokwisha kupewa kwa kufanya kazi hiyo, na kweli siku 2 zilizopita mke aliomba kiasi kama hivhocha pesa kwa mume...kumbe kiasi kile ndicho kingetekeleza maauaji yake.

Scenario 3
Cousin wangu kbs amerudi nyumbani asbh, mkewe hakumsemesha lolote kuhusu kurudi asbh, kwa sababu ya uchovu akajiegesha kupunguza usingizi alioupoteza kwenye mishemishe usiku wa jana, kumbe mke ametayarisha kisu na lengo lilikuwa akipata nafasi amchome visu kwa hasira....bahati mbaya kwa mke, bahati nzuri kwa mume wakati mume ndo anavuta kausingizi wamekuja wageni bila kutegemea, dili ya bi dada kumchoma visu mume imeharibika....siku walipoachana na ndipo alimkumbusha kuwa unakumbuka ile siku ulirudi asbh....shukuru Mungu wageni walitokea hukulala tena ila ilikuwa ndio mwisho wako na nilishajipanga nikuchome visu nitoweke!

Katika hali kama hizo kuna mawili utoe talaka au yakukute mauti!
 
50/50 kesho kutwa nauza nyumba za wanandoa na kiwanja, ni kizuri balaaa, mahakama haijawaji kosea, huwezi mfubaza binti wa watu ukamzalisha akakondeana afu unataka aondoke mikono mitupu
Hapana ni 50/50

Athante mahakama
Hii coment imeegemea upande mmoja..!! Yaani muuzaji uko 100% biased..!! Watu kama nyie kuamua kesi ndo mnaoneaga watu..!! Mahakama imetoa 50/50 ambayo ndiyo haki..!! Wewe unaona binti kafubazwa, na jamaa amenawili. As if kilichokuwa kinaondoka kwa binti hadi akafubaa, kimeenda kwa mwanaume..!!
 
50/50 kesho kutwa nauza nyumba za wanandoa na kiwanja, ni kizuri balaaa, mahakama haijawaji kosea, huwezi mfubaza binti wa watu ukamzalisha akakondeana afu unataka aondoke mikono mitupu
Hapana ni 50/50

Athante mahakama
Why the hate jamani
 
Akili mbovu tu. Mungu na Shetani wako wapi? Wamekujaje kwenye ndoa za watu?! Kuweza au kushindwa,ni maamuzi binafsi. Madude wanayoyafanya,wanakuwa wametumwa na nani?
 
Binafsi mpaka sasa nimetengana na wanawake watatu na ni jambo linaniumiza mno kwani hayakuwa malengo yangu, ila nimemove on.
 
Bro nimekua malaya sina upendo siamini kiumbe chochote
 
Pain;b
 
Naam
 
Beta male
 
Atajijua mwenyewe na Mungu wake. Yaani uchepuke halafu unidhulumu haki zangu. Niliondoka nikaenda kuanza upya. Lakini Mungu si Athumani
Naona kaka tu ndio ana matatizo,wewe je?

I really doubt your story,big time!

Na I dont believe kuchoka kwa jamaa sio kwa kiasi hiki unachosema hapa.

Hujatuambia chanzo cha jamaa kuhama nyumbani ni nini to begin with...

Please do explain if you dont mind!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…