Tukutane hapa tuliowahi kuvamiwa na majambazi tupeane uzoefu/ushuhuda

Vipi huwa unakutana nae??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikawaje mwisho wake???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahaha wewe haujawahi kukutana nao
tana nao
Sijawahi,,sipati picha.


Nakumbuka Niko mdogo walivamia Jirani yetu,,enzi hizo kuna jiwe linaitwa Fatuma, wakapiga risasi juu moja wakavunja mlango na fatuma,( mi jamani Niko uvunguni) kwenye hiyo Nyumba kulikua na wapangaji. Mamam mmoja panic akakimbilia nje wakampiga risasi akafa hapohapo. Wakaiba wakaondoka.
Hakuna aliyetoka mpka asbh. Halafu enzi hizo majambazi yalikua yanaweza kuingia Nyumba zaidi ya moja mtaani,,basi baba mama wote hatusikii hata wakikohoaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Sasa napata picha yanivamie mimi
 
Walikuwa majambaz bila shaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu haswa huwezi kupigana na adui ambaye hujamuona yupo wapi,Ashukuru wale jamaa walikuwa wameshamaliza yao hata kutoka ndani ya gari isingekuwa salama.
 

Natamani tu kujua huyo dada alielekea upande gani


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaaa daah nimecheka kifala yani

Mie kuvamiwa sijawahi ila nilishakutana nao

Kuna eneo nilikua naishi usiku nikawa napenda kutoka nje,
Mida kuanzia saa saba nane hivi
Naangalia magari na kupunguza mawazo,,
Sasa siku moja jamaa wakapita pale na vifaa vya kazi,
Halafu ilikuwa ghafla mno nikabaki nusu hai nusu mfu,

Jamaa mmoja akaniambia mdada hii mida ya watu usirudie tena kukaa nje! Nenda kalale usiku una mengi!

Kwa kweli nilichomoka kwa mbio nadhani hata wao walicheka

Bunduki ione kwa polisi tu ila siyo kwa stranger


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti jamaa alisema hawezi kufa kiboya hahahaa
Sent using unknown device
 
Mbona Mimi naona katumia akili za daraja LA juu kusoma mazingira na kugundua hilo ni eneo ambalo tukio limeshafanyika??Nadhani akili yako ya kulala chini ya gari wakati ujambazi ulishafanyika ndio bure kabisa!!

Huyo jamaa yuko poa sana,ni jasiri,mtulivu na ana akili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahaha uwoga wakati mwingine ndio akili,
ila haya mambo ya kuvamiwa hayanaga taarifa...kwahiyo wewe kuwaga tayari tu muda wote [emoji3]
 
Jambazi huwa anaua ila kibaka anajeruhi tu, so ww umekutaka na panyaroad .
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…