Tulivamiwa na majambax 10 sita ndani 4 nje,mmoja ana rungu na tochi katka paji la uso,wengine wote wana mapanga.
Walipiga teke mlamgo ukaanguka , geti tulikuwa tunafunga bila kufur walifungua,
Madogo wakaambiwa lala chin hakuna kuinua kichwa.
Nilichezea mabapa uku naambiwa tuonyeshe ela iko wapi ,
Apo mi nalia nawaambia ela cna naomba msinizuru na mwanangu chukuen tu chochote ktachowAfaa,
Kaka mkubwa alipigwa panga,lilikuwa linaelekea kichwan bahat nzur akaweka mkono hvyo likamlima kiwiko, akapigwa nyuz 5
Walipekua nguo , wakabeba handbAg zangu, ila walimwaga vilivyokuwa ndan ikiwepo passport, wakabeba beg la kiume lenye izi coins za zaman znazonunuliwaga. Tv, playstation ,deki
Kizuri pesa nilificha katika biblia karibia laki tatu, walivuruga nyumba nzima hawakugusa biblia..
Asubuhi ikabidi tufate nyayo zilipoelekea, mungu si athuman tukakuta tv wameihifadh sehemu njian maana ni izi flat za philips niliinunua zanzibar ya mtumba..ni nzito sana japo flat..nikabeba tv nikairudisha home, but hatukuwapata..
Nlikuwa na kia kwa watu tu kuhusu kuvamiwa aisee
Sent using
Jamii Forums mobile app