Kwa nini asingekuja majengo ya upande alikotokea (barabara)? Maana katoka kituoni halafu anajianika kwenye uwazi na kutumia gari la jamaa kujikinga.Ingekua we ndo Askari nanunafamilia inakutegemea uko kwenu kijjn na wala hapo una backup je ungefanyaje?
Sawa mkuu... nimekuelewa!Hilo ni jibu uliza swali,alafu usiishi Kwa kukariri kuna mademu wanangeu na majambazi Pia,pia ukumbuke kuna ajali
Kwenye group yetu tulikua na majambazi ya kike maalum Kwa kufanya mchoro eneo La tukio,kua chambo front line na kutuliwaza baada ya kazi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatzo unasema simple tu mkuu, ujui jamaa alikua position gani, na hao wahuni nao walikua position ipi. Usijitengenezee imagine wakati ukuepo eneo la tukioKwa nini asingekuja majengo ya upande alikotokea (barabara)? Maana katoka kituoni halafu anajianika kwenye uwazi na kutumia gari la jamaa kujikinga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo dada ambaye mume wake alishuka kwenye gari n kwenda kujaribu kutoa gogo barabarani huo sio uanaume ni ubabe usio na akili..
Maana ilikua usiku hujui adui yupo wapi ana siraha gani wewe unashuka kwenda kusogeza gogo wangemshot kwenye tako..
Mwanaume sio mabavu tu mwanaume ni pamoja na kutumia akili nyingi kwenye tukio la ghafla.
Ni bora wangepak gari na kushuka chini kulala kwenye uvungu wa gari
Mikasa yote hiyo hawajawahi kukulawiti tu?Usiku una mengi, kuna wanadamu wao wamejitolea usiku kama ndio muda wao wa kutafuta chochote kitu,,, binafsi nimewai kukutana na matukio machache ya kukutana na wezi usiku.
Tukio la kwanza, nakumbuka tulikua form six miaka ya nyuma tunatoka kwenye kumbi za starehe tukiwa watatu tunarudi tuliko kua tumepanga uswahilini, njiani tulikutana na wezi wametoka kuiba samani meza, vitanda, na viti walikua wengi kiasi, jamaa walitusimamisha mmoja wao akatupiga mkwara mzito sanaa, nakumbuka walitubebesha meza, rafiki angu mmoja mwenye mwili mkubwa yeye alibebeshwa kabati, tulitembea kama kilomita mbili hivi wakatuachia, yule mwenzetu aliebeba kabati aliumwa mgongo wiki nzima.
Tukio la pili, nikiwa nakatiza mitaa ya sinza, nikakutana na kundi la vibaka wako kama sita hivi, saa sita usiku, ilikua ni ile position unakata kona unakutana na watu hawa hapa, siku sita nikapita kati kati yao maana hakukua na namna nyingine ya kukimbia, nilipigwa kabali ya hatari, huyu kashika mguu huu, mwingine kashika mguu mwingine, walinichukulia simu, waleti na viatu, tukaachana kwa mengi matusi tunatukanana.
Tatu, hii ilinikuta maeneo mapya niliyokua nimehamia, mida ya saa tano usiku nimetoka kunywa mitungi mtaa wa pili, walikuja vijana wawili kwenye boda boda na mapanga yao, mmoja nilimvamia kwa speed ya hatari nilimrukia teke moja akaanguka analia ana kufa, siku laza damu nilikimbia speed ya kufa mtu.
unaweza kushare mawili matatu kama umewai kukumbwa na mswaibu haya, then watu wakajifunza chochote na kuchukua precautions siku za mbeleni.
Asee nimecheka mpaka machozi yananitokaMi nakumbuka wakati nipo Chuo,siku moja natoka kupiga bia zangu baa ya jirani tu kama meter 500 toka getho, ilikuwa majira ya saa 6 usiku, napita karibu na kapori nikasikia mtu ananiita oyo nisubiri kugeuka nyuma nikamuona yupo Kama hatua 15 toka nilipo,nikamuuliza wewe nani ghafla akaanza nikimbiza,nilikimbia mbio kama filbert bai hakunishika, alirusha mawe Sana akanikosa.Ile nafika getho get la kuingilia limefungwa kucheki nyuma anakuja basi nikaamua kukimbia huku nazunguka nyumba nikapiga kelele kuwambia washkaji huko ndani oyooo fungueni fasta nakimbizwa na mwizi jamaa kusikia ivo akasepa.mi nikaingia ndani.
Hapa ndio unaamini matukio ya kihalifu yako ndani ya uwezo wa polisi kukomeshwa.Mwaka 2011
Nilipigwa roba Moshi mida ya 7 usiku nikiwa natoka club walikuwa kama watano na mapanga nikawa mlaini wakaondoka simu,saa, fedha dola mia na tsh elfu sabini pamoja na wallet iliyokuwa na kadi zangu za bank na nyenginezo.Walinichana na kisu kwenye kiganja. Nilijikongoja nikarudi hotel.
Baadae nikakumbuka kipindi hiko Staff Officer wa Polisi wa Kilimanjaro alikuwa Rafiki wa baba yangu nikampigia simu alipokea nikampa mkasa mzima. Ndani ya nusu saa saa vijana wakafika vijana wake pale hotel tukaelekea eneo la tukio ilikuwa ni yale maeneo iliopo Supermarket ya Nakkumati na mimi nilifikia Hotel Cranes.
Ulipita msako wa nguvu na vibaka kadhaa walitiwa nguvuni hadi kunakuchwa nilifanikiwa kupata wallet yangu na kila kitu chake ila simu ilikuja bila ya betri
mkuu embu tupia picha yako tuoneNi gari Za NMB sio crdb, ilikua Saa 6 mchana.
Ngoja ntaanzisha thread yng nielezee matukio tulopiga japo kwa kifupi nilikuja kunasa maeneo ya nkuhungu Dodoma nikanusurika kuchezea moto lkn mguu walivunja na jicho wakatoa!!sshv nimekua raia Mwema na ibada nafanya Pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hao watekaji huwa wanataka nini zaidi? Kwa nn wawaumize hao madereva? Wasichukue tu wanachohitajiIla jamani wanaume wanaroho ngumu!!!!!! Nilimwambia tulock tu milango tujifungie tusubiri hatma yetu kama watakuja kuvunja vioo watukute ndani. Alinijibu kwa ukali "Sifi kiboya" yaani hizo discussion fupi zilifanyika kama tunaugomvi maana mi nilishapaniki... acheni jamani uwii
kana naiona pulling power ya mark X hapo..... vipi likuwa zile za 2.5 4GR-FSE au ile ya 3.0 3GR-FSE1. Miaka ya 2000 mwanzoni, likizo time mshua katufata boarding school tunarudi home. Tulichelewa kuvuka boarder ya mutukula tunaitafuta bukoba... baaasi tukakutana na bonge la road block, wazee walee na SMG zao... wakapunga mkono style ya Traffic police wa awamu ya tano.. sijui mshua alitoa wapi confidence, ali reverse shangingi faster na kwa speed almost 40km/h au zaidi for about 10 minutes, akageuza huyooo tukarudi boarder tukala.. ndo ikawa pona yetu..
2. Wazee baba walikua wanammendea mshua kitambo, wakijua pesa pale ipo.. sehem ya kazi ya mshua ilikua ni polini, katika ranchi za taifa.. basi siku moja mshua kapokea mishahara ya wafanya kazi, kaenda nayo porini.. majambazi yakatonywa, yakajiandaa.. Jioni saa kumi na mbili yakatimba home na bunduki kubwa kubwa, sisi watoto hatujui A wala B. Mshua alikua katoka kaenda kupiga maji na washakji zake.. majambazi yakatukuta sisi na step mom.. yakamwambia step mom awapekele mpaka safe ilipokua, akawapeleka, sema wakashindwa kuifungua.. wakatafuta funguo wakakwama.. Mama nae hajui funguo ilipo. Wakampa kipigo cha mbwa koko lakini hakuwapa walichokitaka, kiukweli hakujua funguo ilipokuwa. Safe wakaifyatulia risasi lakini haikufunguka.. walivyoona muda unakwenda, wakabe redio, TV na jewerly wakasepa... Dingi anarudi kalewa zake, anasema funguo zilikua kwenye suruali aliyokuwa kaivaa jana yake.. suruali iko juu kwenye hook..
3. Mwaka 2016 saa nane usiku natoka zangu kula bata na wana wa TIA, nina kama mwezi nimenunua mark X.... nafika tazara taa zinawaka red, hamna magari kabisa na malori niya kuhesabu, ile nasubiria zimulike green, akatokea mtu out of nowhere anataka nishushe kioo, ana bonge la panga.. nikajaa wenge, pombe zikaniishia.. jamaa mwingine akatokea upande wa kushoto akaanza kugonga kioo kwa kitako cha bastola... mweeee, nikakanyaga mafuta gari inaondoka kwa speed matata... bahati nzuri nilikua sijaweka P(parking).. kuna semi trailer lilikua linavuka kwenda airport nililikosa kosa kuligonga.. nikanyoosha mijamaa nikaiacha haiamini kama nimeiponyoka... nilipofika buguruni sikujali kama kuna watu na magari wanavuka 24hrs... huyooo mpaka getto Tabata.. !
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi naona kafanya la maana, maana asingeshuka huenda wangemdhuru mkewe ,hasa kumbaka.Huyo dada ambaye mume wake alishuka kwenye gari n kwenda kujaribu kutoa gogo barabarani huo sio uanaume ni ubabe usio na akili..
Maana ilikua usiku hujui adui yupo wapi ana siraha gani wewe unashuka kwenda kusogeza gogo wangemshot kwenye tako..
Mwanaume sio mabavu tu mwanaume ni pamoja na kutumia akili nyingi kwenye tukio la ghafla.
Ni bora wangepak gari na kushuka chini kulala kwenye uvungu wa gari
Walituvamia 2016 Sept ,majambazi zaidi ya kumi walivamia nyumba nne usiku mmoja na ya kwetu ilikuwa ya pili ,walivyunja mlango wa chumba na ule wa mbao ndani ya sec Ila walitumbukia sebuleni maana nyumba yenyewe ilikuwa ujenzi haujaisha , hata milango haikuwa stable Sana ,wakapiga paaaa moja tu ,nikashituka nikachukua panga nikalikwaruzaa ukutani nikiwa kuchumbani paraaaaaa paraaa "nikawambia mkiingia tu tutaonyeshana kazi" wakaema we tulia "tunakuja'
Aisee kishindo Chao Kuna friji lilikuwa kwenye korido walilidondosha kulee vyakula hukooo mayai hukooo yaani ,umeme wakakata wakawa ma matochi makali balaaa ,Sasa mi kuona vile nikapanda juu kwenye makenchi maana palikuwa wazi ..wakazama chumbani wakamkuta wife kakaa tu kitandani hajui afanye Nini mi nipo kwa juu tu naangalia ,maana nilivyowachimba mkwara wangenishilka wasingeniacha hai...wakamwambia wife tunataka pesa akasema Hana chochote wakamwambia lete pochi ya kazini akawapa ,akawapa simu zake zote ,pochi ilikuwa na elfu tano ,wakasema unatuchezea wakaenda chumbani kwa mtoto wakamchukua wakamleta kwa wife , mbele yake wakamwekea panga mtoto shingoni wakasema tunahesabu Hadi kumi ...
Wakaanza walivyofika tano nikawambia chukue suruali Ina pesa hapo kwenye kochi wakachukua kulikuwa na laki mle ...basi majirani wakawa wameshutuka wakapiga filimbi wakasepa ,wakaenda kuvamia nyumba zingine 2 ...toka kilindi hicho huwa sila hata Sasa hivi nasikilizia kimtindo ....na nimefuga mbwa wa kunishtua
Sent using Jamii Forums mobile app
Walituvamia 2016 Sept ,majambazi zaidi ya kumi walivamia nyumba nne usiku mmoja na ya kwetu ilikuwa ya pili ,walivyunja mlango wa chumba na ule wa mbao ndani ya sec Ila walitumbukia sebuleni maana nyumba yenyewe ilikuwa ujenzi haujaisha , hata milango haikuwa stable Sana ,wakapiga paaaa moja tu ,nikashituka nikachukua panga nikalikwaruzaa ukutani nikiwa kuchumbani paraaaaaa paraaa "nikawambia mkiingia tu tutaonyeshana kazi" wakaema we tulia "tunakuja'
Aisee kishindo Chao Kuna friji lilikuwa kwenye korido walilidondosha kulee vyakula hukooo mayai hukooo yaani ,umeme wakakata wakawa ma matochi makali balaaa ,Sasa mi kuona vile nikapanda juu kwenye makenchi maana palikuwa wazi ..wakazama chumbani wakamkuta wife kakaa tu kitandani hajui afanye Nini mi nipo kwa juu tu naangalia ,maana nilivyowachimba mkwara wangenishilka wasingeniacha hai...wakamwambia wife tunataka pesa akasema Hana chochote wakamwambia lete pochi ya kazini akawapa ,akawapa simu zake zote ,pochi ilikuwa na elfu tano ,wakasema unatuchezea wakaenda chumbani kwa mtoto wakamchukua wakamleta kwa wife , mbele yake wakamwekea panga mtoto shingoni wakasema tunahesabu Hadi kumi ...
Wakaanza walivyofika tano nikawambia chukue suruali Ina pesa hapo kwenye kochi wakachukua kulikuwa na laki mle ...basi majirani wakawa wameshutuka wakapiga filimbi wakasepa ,wakaenda kuvamia nyumba zingine 2 ...toka kilindi hicho huwa sila hata Sasa hivi nasikilizia kimtindo ....na nimefuga mbwa wa kunishtua
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu mkono na nondo.. Afu walivamia ndani.. though walimjeruhi ila walichezea na hawakukwapua kitu
Dah pole yakeMi naona kafanya la maana, maana asingeshuka huenda wangemdhuru mkewe ,hasa kumbaka.
Ivi unafikiri n mchezo kushuhudia mkeo akibakwa mbele ya macho yako?
Awa majambaz wanapenda sana michezo iyo, kuna mdada mmoja anaishi na mamayake ambae n mzee walivamiwaga na majambaz yenye mapanga karibu kumi na kitu.
Walichokifanya waliwaibia na wakawabaka kwa zam mdada anakwambia hakujali kuhusu yey kubakwa bali kilichomuuma ni kushuhudia mama yake mzazi ambaye n mzee anabakwa na vijana ambao ata angewazaa mbele yamacho yake wakipokezana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa, aiseeTandika temeke nimekabwa sana miaka ya 2009 mpaka wakasema mwacheni huyu wa jana
Duuuh pole sana!...mpaka nimetetemeka!Tulivamiwa na majambax 10 sita ndani 4 nje,mmoja ana rungu na tochi katka paji la uso,wengine wote wana mapanga.
Walipiga teke mlamgo ukaanguka , geti tulikuwa tunafunga bila kufur walifungua,
Madogo wakaambiwa lala chin hakuna kuinua kichwa.
Nilichezea mabapa uku naambiwa tuonyeshe ela iko wapi ,
Apo mi nalia nawaambia ela cna naomba msinizuru na mwanangu chukuen tu chochote ktachowAfaa,
Kaka mkubwa alipigwa panga,lilikuwa linaelekea kichwan bahat nzur akaweka mkono hvyo likamlima kiwiko, akapigwa nyuz 5
Walipekua nguo , wakabeba handbAg zangu, ila walimwaga vilivyokuwa ndan ikiwepo passport, wakabeba beg la kiume lenye izi coins za zaman znazonunuliwaga. Tv, playstation ,deki
Kizuri pesa nilificha katika biblia karibia laki tatu, walivuruga nyumba nzima hawakugusa biblia..
Asubuhi ikabidi tufate nyayo zilipoelekea, mungu si athuman tukakuta tv wameihifadh sehemu njian maana ni izi flat za philips niliinunua zanzibar ya mtumba..ni nzito sana japo flat..nikabeba tv nikairudisha home, but hatukuwapata..
Nlikuwa na kia kwa watu tu kuhusu kuvamiwa aisee
Sent using Jamii Forums mobile app