Tukutane hapa tuliowahi kuvamiwa na majambazi tupeane uzoefu/ushuhuda

Kwani hao watekaji huwa wanataka nini zaidi? Kwa nn wawaumize hao madereva? Wasichukue tu wanachohitaji
Au huwa wanalengo gan hasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa umeuliza hili swali...wakati umetoka kusema we mwenyewe ulichezea bapa na mwingine panga la kiwiko???

Unakuwa unapigwa jambajamba ili utoe hela na usilete ubishi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji24][emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ana bahati walikua wameshaondoka maana wangemuona wangesema wewe ni jeuri wangembaka mke wake kwa hasira nayeye wangemsira na gari yao wangechoma moto yale majamaa sio ya kutumia nguvu ukikutana nayo wewe tumia akili zaidi na uwasome saikolojia yao wanataka nini hasa,unaweza ukawacontrol wasikudhuru kabisa
 
Inaonekana ungekuwa na mke wako wote mngefirw.a kwa uoga.umezaliwa siku 1 utakufa siku 1 wacha kukaa kiree!

Sent using Jamii Forums mobile app

Wewe ndio ungekatwa tako kabisa na ungeliwa kiboga bila uoga aliekwambia kushuka kwenye gari kiboya boya ndio ujasiri ni nani.
Kuna mtaa ulivamiwa na majambazi mama mmoja katoka nnje anaanza kuoiga makelele ovyoovyo jama wakamshot pale pale,asa utasema huyo mamà alietoka nnje ni jasiri au uboya
 
Inaonekana ungekuwa na mke wako wote mngefirw.a kwa uoga.umezaliwa siku 1 utakufa siku 1 wacha kukaa kiree!

Sent using Jamii Forums mobile app

Wewe ndio ungekatwa tako kabisa na ungeliwa kiboga bila uoga aliekwambia kushuka kwenye gari kiboya boya ndio ujasiri ni nani.
Kuna mtaa ulivamiwa na majambazi mama mmoja katoka nnje anaanza kuoiga makelele ovyoovyo jama wakamshot pale pale,asa utasema huyo mamà alietoka nnje ni jasiri au uboya
 

Haahaa hii kalii
 
2014 Nikiwa na bro wangu nimetoka Rwanda na tank la mafuta, wakati tunarudi dar tumefika mlima sekenke, mida ya saa tano usiku tunawahi dar kuja kuwahi kupaki mzingo, tumefika mlima sekenke tupo mita mia mbili kwa mbele tunaona msafara wa magari ya mzigo yamesimama, tukapunguza speed tukaskia risasi zikipigwa juu aisee, gari ilipigwa u-turn moja matata ganda moja la tairi la nyuma likapasuka ikawa ponea yetu ila wale walio tangulia walikula kichapo heavy...

Tukio la pili tulienda Congo na bro tena na cruser kufika kule kuna mzingo wa dhamani tulienda kuuchukua kule kumbe wale jamaa wa kule walipanga deal wakati wa kurudi kuna sehemu flani kuna pori kubwa hadi uje upate kijiji ni parefu balaa barabara za kule ni nyembamba, tupo kwenye pori barabara imewekwa magogo imefungwa hapo ni saa tatu usiku, aisee tulikata pori tukapiga pori hadi tuje tuipate lame si mchezo gari tair zote za mbele zilipasuka tukatembelea rim tumetembea hadi Zambia na rim
 
Mumeo nimeanza kua na wasi wasi nae alipokuambia majambazi wakijitokeza usepe na gari wasije wakakubaka.

Yani katika mambo yote ambayo wangeweza kukufanyia either kukujeruhi au kukuua kabisa, jamaa yeye akahofia tu wewe kubakwa!

Hakika nimeiona nguvu ya papuchi!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

- KANA -
 
Mzee ulipanda juu hawajakuomba panga unalo mbona usiruke uwakate maana mwanamke angewaonesha uliko afu usiwe unajibizana nao utaumia
 
Unatoa 'sinerio' yako ya kiboya ili uverify uboya na uchoko wako!watu washasoma environment hapa tukio lishatendeka,ww unang'ang'ania sijui ulale uvunguni ulock vioo,wahuni wangekufir.a huko huko na pamoja na kulock vioo vyako ambavyo wote mngepasuliwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna siku nimeenda bonyokwa kula demu,nimemalizana nae jioni kagiza giza namsindikiza kwao kumbe washikaji wake wa kitaa wamenichora wakajiorganize wanipe kichapo,wakati narudi Kuna kagiza na mitimiti nikawaona mbele nikasimama wakaanzs kunifuatilia ikabidi nitimue mbio kurudi nilikotoka nikaona watanipata sio mwenyeji wa mtaa ule nikazama ghafla kwenye nyumba ya mtu,nikajieleza wakaniitia bodaboda akanibeba kumbe ni vibaka na tuliwakuta wakati narudi wanafahamiana na bodaboda ndo kupona na sikurudi kwa huyo demu tena

Tukio jingine saa tisa usiku nimetoka kwenye vigodoro narudi mongo la ndege kupitia kituo kipya nafika relini jamaa na mapanga wanatokea vichakani nyuma yangu wakaanza kunifukuza nikatimua mbio kushuka mteremko kuelekea msimbazi darajani kabla sijavuka daraja bodaboda anafika akanionea huruma akasimama fasta nikapanda tukasepa nahema balaa tukafika nahema nikamdhujuru boda na kimtoa ikawa mwisho wa kwenda vigodoro na kuzurura usiku
 

Tena wewe nahisi ukija kukutana na wazee wa kazi kama sio kujinyea basi uta faint,kubali tu kwamba jamaa lilikua ni zali lake usinidanganye kwamba alisoma maziñgira wakatia amekuta eneo la tukio papo kimya usikariri nawewe siku uje kufanya ujinga huo..
Huwa tunashuka kwenye gari kama umefika eneo la tukio na shambulio linaendelea pale ndio unaweza kusoma mazingira kwa haraka na ukaamua kushuka ukitambaa kuelekea porini,sio unashuka kiboya boya
 
Mimi nilikuwa natoka kuangalia Mechi UEFA,2005 Finali ebwana wewe Sasa Mtaa wangu ulikuwa Mbali na Center kwenye Umeme/Banda umiza.Nilikutana na Majambazi yametoka kuvunja Maduka yanagawana na kupanga vitu kwenye Hilux mbili.Wajinga walivyoniona wakasema JIIIIIINI HILO LIACHENI mmoja alianza kuikoki SMG (Hahaha! Nilipofika nyumbani ndiyo nikajua kumbe UREA ilitiririka unknownly).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti ngoja msafara ufike salama[emoji23][emoji16][emoji23][emoji16][emoji16][emoji23][emoji16][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So gari yenu ya mafuta ndio ilipiga Uturn?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hela za kwanza pia zilirudishwa?...zilikuwa hazijaliwa? Wanaiba na kuhifadhi??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…